Matumizi ya kinga bado yapo?

Matumizi ya kinga bado yapo?

Mkuu kwa wale wanaoshindwa kuvumilia kutokufanya wajitahid kujikinga
Nafanya bila kujikinga, ila sibadilishi wanawake. Wale ambao kazi yao ni kubadilisha wapenzi nawashauri wasiache kutumia kinga.
 
Nafanya bila kujikinga, ila sibadilishi wanawake. Wale ambao kazi yao ni kubadilisha wapenzi nawashauri wasiache kutumia kinga.
Kweli kuna watu daily ana mpenzi mpya yeye ni kuamsha dude tuu kinga haipo kichwani kabisa kama vile hajawahi kuisikia
 
Mtu makini hawezi puuza kujikinga dhidi ya ukimwi.

Waliojikatia tamaa ndo utawasikia etiii...sizijui hizo kitu....oooh situmiagi ...eti siwezi kula pipi na ganda lake n.k

Kumbuka usisahau kila mtu anawajibika na dunia inayomzunguka.....so wadogo zako au wanao wasipofundishwa na wanaharakati plz wafundishe wewe.

Haiitaji elimu ya chuo kumweleza mtoto Ukimwi ni ugonjwa hatari kwa future yako....pia hauna tiba so far.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za jioni wadau wa jukwaa hili poleni na majukumu ya kila siku. Mwenzenu nina swali lenye ukaka kidogo ambalo wengi hawapendi hata kulisikia lkn ni wajibu tukumbushane kutokana na hali ilivyo swali liko hivi!! Hivi matumizi ya kinga bado yapo au ndio kuchenjuana tuu? Maana naona hata matangazo ya kinga hakuna tena na maambukizi ya ukimwi yanapamba kasi hali ni hatari watu hatujali kabisa ndio nauliza na zile kampeni zingine za kuzuia UKIMWI ziliishia wapi? Kizaz kinaangamia kwa kukosa maadili jamani
Ww unaongelea matumizi? Kuna wengine hata bei ya huzo kinga hawazijui wao ni kavu kavu cku zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom