Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Habari za wakati huu wananchi wenzangu.ebana,nina rafiki yangu wa kike{urafiki wa kawaida}ambae bahati mbaya ye hana bumu so anategemea kila kitu toka kwa wazazi wake,cha kushangaza huyu bidada ana matumizi ya ajabu sana afu akiishiwa me ndo wakukopwa,mfano mwezi wa kumi 2lvofungua chuo kaja na tsh 1.3milion,akatakiwa alipe ada ya semister 1 ambayo ni lak 6.5 bt cha kushangaza amelipa lak 4.5 hzo zngne anajua ye mwenyewe alipo zipeleka kwa maana hadi sa hz ananiambia hana hela hata ya kula na anaogopa kumpiga kizinga mzee wake,mwanzo nilimshauri hzo pesa ka atashndwa kukaa nazo ts btr aweke kwenye a/c yangu atleast nimsaidie kumuwekea bt akapotezea..sa wadau huyu rafiki yangu nimsaidiaje tena kama hadi umri huu hajui kujibudget?