Matumizi ya hizi mbolea

Matumizi ya hizi mbolea

issakwisssa

Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
66
Reaction score
124
Habarini wana jf
Kwanza kabisa ni mshukuru mungu kwa mambo mengi anayotujalia na kutulinda na mambaya
Wandugu naombeni mwenye ufahamu wa matumizi ya hizi mbolea anielekeze
Akizingatia sana nalima matikiti
Mbolea ya kwanza ni Npk
Na nyengine ni yulea
 
Nisaidieni nimelima matikiti nimekosa mbolea ya can ili tunda liwe kubwa .mbolea gani nyingine ninunue ?
 
Back
Top Bottom