Matumizi ya gas ya kupikia na mkaa

Matumizi ya gas ya kupikia na mkaa

Kwa anayelijua hili jiko anipe ripoti
37fd5b12648cfd8084478593772e8bf3.jpg
Kwa hapa Dar wapi naweza kulipata ili ninunue??
 
dar sijui yanapatikana wapi ila nlienda pale clock tower wana majiko ya kisasa mengi aina hii sijayaona.
 
kama unaweza kuagiza nakupa namba ya hawa jamaa nliwaona bangarole wanauza original yake +917349275161
 
yanaitwa induction coocker, ama kama unaweza kupata mtu yupo bangarole umwagize pala mantri square akachukue yapo unapoingia geti la kuingilia, na hata haya kma la kwangu yapo hapo kwenye floor ya underground yanauzwa bai chaa elf 50 ya huku kama rupee 1700
 
Wengine gas inatumika muda mrefu haiishi upesi, na wanaona ina unafuu ukilinganisha na mkaa.
Wengine inaisha haraka, kwahiyo wanaona ni gharama sana kuitumia.

Hali hii ya kutofautiana nafikiri inasababishwa na aina ya majiko yanayotumika. Mengine yanatumia gas nyingi na mengine kidogo sana.
Vilevile huenda inasababishwa na utapeli katika kujaza hiyo mitungi.
 
Wengine gas inatumika muda mrefu haiishi upesi, na wanaona ina unafuu ukilinganisha na mkaa.
Wengine inaisha haraka, kwahiyo wanaona ni gharama sana kuitumia.

Hali hii ya kutofautiana nafikiri inasababishwa na aina ya majiko yanayotumika. Mengine yanatumia gas nyingi na mengine kidogo sana.
Vilevile huenda inasababishwa na utapeli katika kujaza hiyo mitungi.
Bro hakuna jiko linalotumia gesi kidogo na jingine nyingi. Maana yake gesi kidigo moto kidogo pia, hivyo utapika muda mrefu
 
sikia nikuambie, jiko la mkaa utanunua sh.30elf, gunia la mkaa sh.45elf na unaanza kupika hadi gunia liishe ni miezi 2. lakini Gas, jiko na mtungi wake pamoja na gesi yenyewe utanunua kwa sh.laki 2 na kila ges ikiisha utajaza sh.58elf kwa mtungi wa kilo 16, utatumia mwezi 1 na nusu. hebu fuatilia uone.
Jiko lamkaa elfu 30? Your not serious.
 
I think gas is better and more advantageous than charcoal miles away.
But usipikie makande
 
Usidanganye watu! Takwimu zako si sahihi kabisa. Kwa mtumiaji wa gunia moja la mkaa kwa miezi 2, mtungi wa gas wa kilo 15 (sio 16) nina hakika atatumia miezi 4 hadi mitano. Ukweli ni kuwa gharama ya kuanzia (initial cost) ni kubwa; deposit ya mtungi na kununua jiko lenyewe, lakini gas ni nafuu mno. Mimi nina familia kubwa (watu wazima 5), tunachemsha maji ya kunywa, tunapika mara tatu kila siku, tunakaanga samaki very often: matumizi ya mtungi wa gas ni 40 days. Sembuse mtumiaji wa gunia moja la mkaa kwa miezi 2. Kama huamini invest kwenye gas utakuja kukiri hapa!
40Days? Muongo
 
Halaf wada Vp kuhusu usalama kuna wengne unakuta m2ngi kauweka nje Halaf katoboa 2ndu Ukutan kuingza Mpra wa ges ndan sasa mm cna fence mazngra c salama kuweka m2ng nje
 
Halaf wada Vp kuhusu usalama kuna wengne unakuta m2ngi kauweka nje Halaf katoboa 2ndu Ukutan kuingza Mpra wa ges ndan sasa mm cna fence mazngra c salama kuweka m2ng nje
Ni ulimbukeni tu, hii gass inaiwa LPG gass. Maana yake ni low pressure gass. Ni gesi ya kiwandani na hailipuki so weka ndani ni salama kabisa. Na hata ukiacha valv on harufu itakustua tu hasara hapo itakuwa ni gesi kuisha na sio kulipuka
 
Matumizi yangu ni 1.5 hadi 2 unit per day. Tena nisisahau mwezi huu nimechomelea geti la mlango wa banda la kuku. Maana nina mashine ya kuchoma pia muda flani huwa natumia kurekebisha vitu vidogovidogo mwnyewe hapa home
4c490664fbbc4b62a53df9cd2f65555e.jpg
 
I think gas is better and more advantageous than charcoal miles away.
But usipikie makande
Unapikia chochote. Maana nunua pressure coocker orignal kwa laki na ishirini. Inapika makande kwa dk20 tu. Ukiona kote pagumu chukua maji yachemshe sana. Chukua maharage yachmshe kama dakika tano. Then chukua zile thermos zisizo na chupa ndani zile bati mtupu. Weka maharage yako weka na maji yale ya moto then yaache kwa masaa manne ama usiku mzima asubuhi utakuta yameiva unga endelea na time yako
 
Ni kweli brother, basi mm nliuliza kwa mtalam wangu hapa kabla ya kupost akaniambia lpg ni gesi nzito hailipuki kama ile ingine ndo akanipa definition hiyo
 
Back
Top Bottom