Nyongeza, mara nyingine wake na watoto wetu wanatumia nylon au mafuta ya taa kuwasha mkaa. Fikiria kuna athari gani za kiafya hapo!Unaishi wapi mkuu? Kipi kinapatikana kwa urahisi maeneo unayoishi?
Generally, kwa kulinganisha gharama zilizo wazi, ni kweli gas inaweza kuonekana kuwa na gharama kuliko mkaa. Lakini ukiangalia na gharama zinlizojificha- vitu kama usafi na muda pengine gas ni option nzuri zaidi (inachukua si chini ya dakika 15 kuandaa jiko la mkaa na kuanza kupika wakati gesi, ni suala la sekunde kadhaa tu).