Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 2,021
- 2,459
Kwa anayelijua hili jiko anipe ripoti
Linatumia umeme,kwa mwezi bill ikoje?Ni full plastick na halipiki kwa kutoa joto ila lina moto mkali gesi haifati
Gesi ni rahisi mara dufu yaani naweza kusema maisha yang yamekuwa rahisi zaid tangu nilipoanza kutumia gas miaka 5 iliyopita,mi nina familia ya watu 4 na natumia gas pekee,natumia mtungi wa kilo 30 na naweza kudumu nao kwa miez 4 kulingana na matumizi yangu,cha msingi ni matumiz sahihi ya gasJamani mbona mnanitisha,au inategemea na aina ya jiko,hebu niambie jiko lako ni aina gani?umezidi kunidatisha,mimi hata maji ya kunywa nachemshia kwenye umeme,lakini ni 3week tu gas imeisha.Au mtungi haujai,kulaleki nitaanza kuja na mtungi posta upimwe kabisa,siiti tena.Nielewesheni jamani nijue how to save it.
Ilo ni la umeme auNdo jiko na tumia zaidi na familia ina watu 6
9700 tena huwa hauishiLinatumia umeme,kwa mwezi bill ikoje?
Umeme huhu wa luku 9700/= mmmm mwenzetu Tz niijuayo mie?Mi mkaa kwangu nishapiga marafuku kama mwaka wa 5 sasa sinunui mkaa, natumia gesi na umeme na jiko la umeme linatumika kwa ajili ya vitu vigumu kama maharage, maji ya kunywa, kuoga n.k. na umeme nalipa elfu9700/= kwa mwezi. Na gesi natumia elf 54 kwa mwezi na siku 10
La umeme bossIlo ni la umeme au
Ni umeme wa tariff 4 huo.Umeme huhu wa luku 9700/= mmmm mwenzetu Tz niijuayo mie?
Huu ni uwongo wa kiwango cha changarawe. Mie pia niliambiwa hivi hivi kwamba gas mtungi wa kg15 nitatumia si chini ya miezi 3, lakini baada ya kununua mwezi wa kwanza, nilikua natumia kwa kujiamini mno, si niliambiwa nitatumia siku 90,!!? Hivyo sikuona shinda ya kujibanabana, hadi maji ya vuguvugu kwaajili ya kuoga nilikua natumia gas. Matokeo yake gas ikakata siku ya 26 tu. Kwakua nilikua nishajua kwamba sikuambiwa ukweli, ikabidi nianze kubana matumizi, yani full kufuatilia kila wife apikacho na kwenda kuahakiki kama batun IPO off . ikadumu kwa siku 35, hivyo kwa ufupi mkaa ni nafuu kwa mtu wa hali ya chini, ukinunue kipeto cha 20,000 unatumia mwezi mzima, Ila ndo hivyo tu uharibifu wa mazingira na sio fasta kama unaharaka ya kupika lazima ile dakika kadhaa. Gas gharama asikuambie mtuUsidanganye watu! Takwimu zako si sahihi kabisa. Kwa mtumiaji wa gunia moja la mkaa kwa miezi 2, mtungi wa gas wa kilo 15 (sio 16) nina hakika atatumia miezi 4 hadi mitano. Ukweli ni kuwa gharama ya kuanzia (initial cost) ni kubwa; deposit ya mtungi na kununua jiko lenyewe, lakini gas ni nafuu mno. Mimi nina familia kubwa (watu wazima 5), tunachemsha maji ya kunywa, tunapika mara tatu kila siku, tunakaanga samaki very often: matumizi ya mtungi wa gas ni 40 days. Sembuse mtumiaji wa gunia moja la mkaa kwa miezi 2. Kama huamini invest kwenye gas utakuja kukiri hapa!
Mkuu mtu mmoja atumie mtungi wa 15kg kwa mwezi mmoja na nusu? Labda kama hiyo gas anapikia maharage kuanzia asubuhi hadi mchana daily. Yani kwa bachela mtungi wa 15kg lazima aanzie miezi 4-5. Mimi nipo na wife na dogo tunatumia mtungi wa 15kg pia tunao wa 6kg, mara ya mwisho nimejaza wa 15kg tarehe 02/01/2018 ila hadi sasa bado sijaambiwa gas imeisha. Na hapo ule mdogo upo tu hautumiki maana niliununua kama back up maana ule mkubwa siku moja ulikata ghafla wakati wife anapika nikamuhurumia wife ikabidi nimtafutie wa 6kg ili ule mkubwa ukikata anaendelea na mdogo.sikia nikuambie, jiko la mkaa utanunua sh.30elf, gunia la mkaa sh.45elf na unaanza kupika hadi gunia liishe ni miezi 2. lakini Gas, jiko na mtungi wake pamoja na gesi yenyewe utanunua kwa sh.laki 2 na kila ges ikiisha utajaza sh.58elf kwa mtungi wa kilo 16, utatumia mwezi 1 na nusu. hebu fuatilia uone.
Mkuu mtu mmoja atumie mtungi wa 15kg kwa mwezi mmoja na nusu? Labda kama hiyo gas anapikia maharage kuanzia asubuhi hadi mchana daily. Yani kwa bachela mtungi wa 15kg lazima aanzie miezi 4-5. Mimi nipo na wife na dogo tunatumia mtungi wa 15kg pia tunao wa 6kg, mara ya mwisho nimejaza wa 15kg tarehe 02/01/2018 ila hadi sasa bado sijaambiwa gas imeisha. Na hapo ule mdogo upo tu hautumiki maana niliununua kama back up maana ule mkubwa siku moja ulikata ghafla wakati wife anapika nikamuhurumia wife ikabidi nimtafutie wa 6kg ili ule mkubwa ukikata anaendelea na mdogo.sikia nikuambie, jiko la mkaa utanunua sh.30elf, gunia la mkaa sh.45elf na unaanza kupika hadi gunia liishe ni miezi 2. lakini Gas, jiko na mtungi wake pamoja na gesi yenyewe utanunua kwa sh.laki 2 na kila ges ikiisha utajaza sh.58elf kwa mtungi wa kilo 16, utatumia mwezi 1 na nusu. hebu fuatilia uone.
We hipikiMi natumia gesi kamtungi kadogo mwezi wa 4 huu hakajaisha
Ukiona hivyo hajawahi kutumiaHuu ni uwongo wa kiwango cha changarawe. Mie pia niliambiwa hivi hivi kwamba gas mtungi wa kg15 nitatumia si chini ya miezi 3, lakini baada ya kununua mwezi wa kwanza, nilikua natumia kwa kujiamini mno, si niliambiwa nitatumia siku 90,!!? Hivyo sikuona shinda ya kujibanabana, hadi maji ya vuguvugu kwaajili ya kuoga nilikua natumia gas. Matokeo yake gas ikakata siku ya 26 tu. Kwakua nilikua nishajua kwamba sikuambiwa ukweli, ikabidi nianze kubana matumizi, yani full kufuatilia kila wife apikacho na kwenda kuahakiki kama batun IPO off . ikadumu kwa siku 35, hivyo kwa ufupi mkaa ni nafuu kwa mtu wa hali ya chini, ukinunue kipeto cha 20,000 unatumia mwezi mzima, Ila ndo hivyo tu uharibifu wa mazingira na sio fasta kama unaharaka ya kupika lazima ile dakika kadhaa. Gas gharama asikuambie mtu
huu huu nashosha kila siku, fridge inawaka mchana usiku inazimwa, natumia jiko la umeme, tv inawaka siku nzima inazima saa 4usiku maana nina beki 3 anashinda kwenye tv,Umeme huhu wa luku 9700/= mmmm mwenzetu Tz niijuayo mie?
Dah..bado unauza mkaa?[emoji87] [emoji12]sikia nikuambie, jiko la mkaa utanunua sh.30elf, gunia la mkaa sh.45elf na unaanza kupika hadi gunia liishe ni miezi 2. lakini Gas, jiko na mtungi wake pamoja na gesi yenyewe utanunua kwa sh.laki 2 na kila ges ikiisha utajaza sh.58elf kwa mtungi wa kilo 16, utatumia mwezi 1 na nusu. hebu fuatilia uone.
mkuu 9700 kwa mwezi??au umekosea??Mi mkaa kwangu nishapiga marafuku kama mwaka wa 5 sasa sinunui mkaa, natumia gesi na umeme na jiko la umeme linatumika kwa ajili ya vitu vigumu kama maharage, maji ya kunywa, kuoga n.k. na umeme nalipa elfu9700/= kwa mwezi. Na gesi natumia elf 54 kwa mwezi na siku 10