Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,373
- 8,282
Mambo yote gb whatsap tu huku kwingine uzushMambo yanabadilika sana ndugu. Sasa ivi kwa wenye ndoa na wachumba sugu hutumia email kustuana na na kupeana appointment za kunyanduana au kukutana lakini pia kutumiana picha na meseji za mapenzi.
Hii ni kutokana na uelewa mdogo baina ya wanandoa au wachumba juu ya matumizi ya email ha vivyo basi njia hii kuonekana ni salama zaidi.
Wanandoa na wachumba wanaoruhusu simu zao zitumiwe na wenzi wao, hawaweki password WhatsApp na sehemu nyingine zote. Umeshawahi kufungua sehemu ya email ambayo wengi huwa hawana habari nayo?
Michepuko wa sasa huelekezana jinsi ya kutumia email kukwepa ufichuzi wa wenza wao wasio na uelewa wa matumizi ya email.
Hukurudia tena kucheat?Hii mbinu niliitumia 10 years back....na nilikamatwa vizuri, nashukuru ushahidi haukutosheleza, sikuachwa🤣🤣🤣
Wala sio mbinu salama hii🤣
Mbinu za kivita, na mwanamke asiye heat ataandikeje sasa.Ukiona mwanamke anajidai anakumis sana, sijui oh nasafiri, basi tu spend time together kuondoa upweke, hapo anakuweka sawa, na ndo wakati ka cheat au anaelekea.
Kweli shetani ana mbinu mpya...ni katika kuhakikisha maovu yanaendelea kufanyika kwa kificho na gizani zaidi
😂 si mchezo😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 nimecheka kwa sauti hapa lecture aiseeeee
😂 Kaa kitaalamyaani umeenda mbali zaidi hadi pdf?, inaonekana wewe ni professional eneo hili ee, ,
maana pdf sie tumezoea tu lile la teuzi na tenguzi lile la Zuhura yunusi,
Kumbe nyie mnatumia for appointment
kwanh yupo? Vp unapoenda kusex nayeye ana msex my beib?? Umeniacha hoi ngoja nicheke taratibu hahaha hahaha the mixing killaaashetani kitu mbaya sana, anachochea binadamu ili wakachomeke zaidi motoni
DuhMambo yanabadilika sana ndugu. Sasa ivi kwa wenye ndoa na wachumba sugu hutumia email kustuana na na kupeana appointment za kunyanduana au kukutana lakini pia kutumiana picha na meseji za mapenzi.
Hii ni kutokana na uelewa mdogo baina ya wanandoa au wachumba juu ya matumizi ya email ha vivyo basi njia hii kuonekana ni salama zaidi.
Wanandoa na wachumba wanaoruhusu simu zao zitumiwe na wenzi wao, hawaweki password WhatsApp na sehemu nyingine zote. Umeshawahi kufungua sehemu ya email ambayo wengi huwa hawana habari nayo?
Michepuko wa sasa huelekezana jinsi ya kutumia email kukwepa ufichuzi wa wenza wao wasio na uelewa wa matumizi ya email.
Kwa kweli.Tena sio G-mail Tunachatia Yahooo uko hamna anaejua
yaani ata ukinywa bia 4 useme sasa uondoke nyumbani anakuzonga na upepo wa kisulisuli eti uongeze 2 for the road.....kwanh yupo? Vp unapoenda kusex nayeye ana msex my beib?? Umeniacha hoi ngoja nicheke taratibu hahaha hahaha the mixing killaaa
Hii ipoje??Mambo yote gb whatsap tu huku kwingine uzush
Hawa ndio wake zetuNipe pm jamani, kuna Mtu ana hela ananibembeleza nimchune🤣🤣🤣 Naogopa kufumaniwa Mie🤣🤣
Sijarudia tena, Aliyenifumania alinioa.....nimetulia tuli mke wa mwenyewe.Hukurudia tena kucheat?
Relaaaaax, tunachangamsha jukwaa hapa.Hawa ndio wake zetu
Noted my future hubby umekwisha asantee [emoji120][emoji120]Mambo yanabadilika sana ndugu. Sasa ivi kwa wenye ndoa na wachumba sugu hutumia email kustuana na na kupeana appointment za kunyanduana au kukutana lakini pia kutumiana picha na meseji za mapenzi.
Hii ni kutokana na uelewa mdogo baina ya wanandoa au wachumba juu ya matumizi ya email ha vivyo basi njia hii kuonekana ni salama zaidi.
Wanandoa na wachumba wanaoruhusu simu zao zitumiwe na wenzi wao, hawaweki password WhatsApp na sehemu nyingine zote. Umeshawahi kufungua sehemu ya email ambayo wengi huwa hawana habari nayo?
Michepuko wa sasa huelekezana jinsi ya kutumia email kukwepa ufichuzi wa wenza wao wasio na uelewa wa matumizi ya email.
Future hubby atanunua kiswaswadu akiache ofisini🤣🤣🤣Noted my future hubby umekwisha asantee [emoji120][emoji120]
[emoji23]haha au kwa fundi viatu duhFuture hubby atanunua kiswaswadu akiache ofisini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]