Hajui, maana wananiteta sana na Mama yake, vibaya mno, mno, Mama anamwambia jitahidi basi unitumie hela, tafuta namna huyo mwanaume hawezi kukunyima, naona zote...
Naona text anatongozwa mpaka na ndugu zangu, naona mpaka wakati mwingine anawaambia watu wanaomtongoza, mimi nimerizika na mume wangu.
Naona vitu ambavyo angekua naona asingekuwa na amani kabisa, mengine ananitukana na ma best zake kiaina, etc.