Mambo yanabadilika sana ndugu. Sasa ivi kwa wenye ndoa na wachumba sugu hutumia email kustuana na na kupeana appointment za kunyanduana au kukutana lakini pia kutumiana picha na meseji za mapenzi.
Hii ni kutokana na uelewa mdogo baina ya wanandoa au wachumba juu ya matumizi ya email ha vivyo basi njia hii kuonekana ni salama zaidi.
Wanandoa na wachumba wanaoruhusu simu zao zitumiwe na wenzi wao, hawaweki password WhatsApp na sehemu nyingine zote. Umeshawahi kufungua sehemu ya email ambayo wengi huwa hawana habari nayo?
Michepuko wa sasa huelekezana jinsi ya kutumia email kukwepa ufichuzi wa wenza wao wasio na uelewa wa matumizi ya email.
Ila humu ndani kuna watu..Mimi hata watumie radio call, atashikwa tu
Ila humu ndani kuna watu..
Muende stand up comedy tu
πππππππππππππππππππ
Ki vyovyote mkuu..??Wala, namaanisha, atashikwa tu, yani nina tu machale ambazo tukinicheza lazima kuna mazingira mabaya.
Ki vyovyote mkuu..??
Kuna njia zingine ni ngumu kugundua au wee ni mtundu wa kutumia simu ..
Kivipi mkuu kusema radio call ina feature gani... uniqueradio call? Osama bin laden alihangaisha dunia kwa hiyo kitu
Hii mbinu niliitumia 10 years back....na nilikamatwa vizuri, nashukuru ushahidi haukutosheleza, sikuachwaπ€£π€£π€£Mbinu ya kale, sema tukupe mupya
Kivipi mkuu kusema radio call ina feature gani... unique
πππππππππ we mkuuNakueleza, mimi hapa nilipo nilowasha laptop, napata raman ya mji mzina na ninaona mke wangu yupo wapi kwenye google map, na hajui
Sasa hivi watu wanatuma sms kwa pdf... au excHii mbinu niliitumia 10 years back....na nilikamatwa vizuri, nashukuru ushahidi haukutosheleza, sikuachwaπ€£π€£π€£
Wala sio mbinu salama hiiπ€£
Unajitafutia magonjwa ya Moyo, binadamu hachungwi Kama kuku.Nakueleza, mimi hapa nilipo nikiwasha laptop, napata raman ya mji mzina na ninaona mke wangu yupo wapi kwenye google map, na hajui. Na miaka yangu 55 siachi gap, maana shemeji yenu mdogo sana.
Unajitafutia magonjwa ya Moyo, binadamu hachungwi Kama kuku.
Halafu Kwa akili zetu wanawake anaweza kutoka, simu akaiacha Kwa mtu unayemwamini na akafanya yake....binadamu hachungwi.
Hii mbinu niliitumia 10 years back....na nilikamatwa vizuri, nashukuru ushahidi haukutosheleza, sikuachwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wala sio mbinu salama hii[emoji1787]
Una mjua uttoh2002 vizuri wewe πππππππππUnajitafutia magonjwa ya Moyo, binadamu hachungwi Kama kuku.
Halafu Kwa akili zetu wanawake anaweza kutoka, simu akaiacha Kwa mtu unayemwamini na akafanya yake....binadamu hachungwi.
Unajitafutia magonjwa ya Moyo, binadamu hachungwi Kama kuku.
Halafu Kwa akili zetu wanawake anaweza kutoka, simu akaiacha Kwa mtu unayemwamini na akafanya yake....binadamu hachungwi.