[emoji28] kwanin ule asali na limao kwa pamoja???Hizi stori nimekuwa nikizisikia tangu primary. Zina ukweli wowote au stori za vijiweni. Nisaidieni wazee manake leo nimejisahau. Niliweka asali kwenye mkate nikagonga na chao iliyochanganywa na limao. Si unajua nina mafua.
Hizi stori nimekuwa nikizisikia tangu primary. Zina ukweli wowote au stori za vijiweni. Nisaidieni wazee manake leo nimejisahau. Niliweka asali kwenye mkate nikagonga na chao iliyochanganywa na limao. Si unajua nina mafua.
wanasema" tea with lemon". hawasemi "honey"asali na limao dawa nzuri ya kifua na huongeza ufanisi kwa akina baba
soma post yangu vizuri mkuu[emoji28] kwanin ule asali na limao kwa pamoja???
This has nothing to do with my topic. But thanks for being part of my thread, anyways.Ule asali usile asali uchanganye usichanganye utakufa tu maana hakuna namna. Ila hatujui Siku SAA mahala ila ni swala LA mda tu.
Jaribuni kustick kwenye madahebu nitafute na ile id yako ya kibazazi. Inaonekana ushaharibu ndo maana umebadili id ili uharibu kwngine. Kudadeki
chawa chomowanasema" tea with lemon". hawasemi "honey"
Unakufa au ufi? Hilo ndiyo swaliNdugu yangu, kwanza nakupa pole kwa kujazwa woga.
Lakini pia leo ujue kuwa hakuna juice tamu duniani kama ya mchanganyiko wa limau na asali.
Hata mie nilikuwa naamini hvyo ila wakati nimedhamiria kuacha pombe ndo kilikuwa kinywaji changu. Ni juisi tamu sana.
Robo lita ya limau+vijiko 5 vya asali+ sukari vijiko 3. Utaenjoy sana.
Uje na fact. Siyo stori za kitaa. Hicho kinywaji kinpatikana wapi? Acha uzushiHufi bhana kuna Kinyaji cha Hot Lemon, honey n ginger watu si wangedanja!!!
utakuwa freemasonsBora wewe umekunywa chai ya limao.Mimi nilikamua limao na kuchanganya na asali.Mpaka leo naishi.
Msukuma Bravo, Kwa Kuitaka SERIKALI Kuhararisha Ulaji NGADA Na GOMBA!! MAANA Hizi Za Kujificha Vyooni, Watu Wanazidi Kuwa Wehu Kila Uchao!!!!!Muulize gwajima majibu anayo
thank you darling.Umemaliza kulima?Porojo tu.
kuumia au kufa?Mi huwa natumia kama tiba ya sauti...mbona cjawahi kuumia?
Jigo
mada haina cha kujadiliwa kwa sababu wewe uko hai. Nadhani jibu ushalipataJaribuni kustick kwenye mada
Mie kila siku maji ya moto natia kijiko cha asali na limao bado nipoKila asubuhi natengeneeza chai ya rangi
Naweka asali kijiko na maji ya limao .
Nimefanya hivyo miaka nenda Rudi.
I'm still alive and kicking. 🙂