Matumizi ya Asali kwa watoto.

Aug 11, 2017
61
78
Kwanini Asali sio nzur kwa mtoto chini ya mwaka mmoja ?.

Asali sio nzur kwa mtoto aliye chini
ya mwaka mmoja kwa sababu zifuatazo:

Asali ina spores of bacterium ambao
wanaitwa clostridium botulinium ,mfumo wa chakula wa mtoto chin ya mwaka haujakomaa kias cha kuweza kukabiliana nao.

Hivyo akila asali anaweza kupata ugonjwa unaoitwa Botulism.

Botulism ni ugonjwa ambao ni mara chache sana kupata watoto ila akiupata si mzuri kwa afya ya mtoto.

Mama acha kumpa mtoto asali aliyechini ya mwaka subir akifika mwaka umpe maana mfumo wake wa chakula utakuwa umekomaa na hawa bacteria watakuwa hawana madhara kwake.

Dalili za Botulism kwa mtoto ni :

Mtoto kukosa choo misuli ya mtoto
kukosa nguvu Mtoto kupata shida kunyonya Mtoto kulia sana. Nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom