Hayo ni maendeleo na wala siyo kudumaza akili. Kwani zilizogunduliwa calculator akili zetu zilisimama?Nakumbuka kila assignment tutakayopewa either iwe individual au group sisi tunatumia tu bot letu kwisha kazi hakuna cha kwenda library wala nini, kwnz hata discussion hakuna ni bot ty daaah hili taifs mbeleni watazalishwa wasomi hewa
Akili inaduma ukitaka kujua just muulize swali na mwambie akuelezee vizuri yaani utacheka sana hamna kitu kbs afu unakuta assignment kapiga 9 au 10 zotesema baadhi ndo hutumia vibaya,
Sasa masomo ya sayansi na walimu wa bondo unakua huna jinsi, mwalimu anakupa mfano wa C++ bila ku break down kila statement inamaana gani, unafanyaje? Ukimpa chatgpt anakwambia kila details.
Waache madogo
uwezi kwepa mpaka simu janja yako ni AINakumbuka kila assignment tutakayopewa either iwe individual au group sisi tunatumia tu bot letu kwisha kazi hakuna cha kwenda library wala nini, kwnz hata discussion hakuna ni bot ty daaah hili taifs mbeleni watazalishwa wasomi hewa
PRAGALISM TOOL NDIO FYEKEOHawezi kugundua labda uwe wa kucopy na kupaste mkuuu hapo mm nishawahi piga kozi work ya 40/40 kutumia AI tu
Kweli kaka nakubaliana na wewe, kuhusu cv nafungua bot langu naandika cv writting format kwishaaa kaziKimbembe mtakutana nacho mtaani mtakapomaliza chuo!
Ndio mtajua kati ya kwenda kujisomea library na kutumia BOT kipi Bora!
Unakuta mtu ana GPA first class hata CV hawezi kuandika
Hio anasababisha wasomi wasioelewa maana mtu aliesoma kitumia AI tu hasa kozi za economics uchumi wa nchi lazima uporomokeeeHayo ni maendeleo na wala siyo kudumaza akili. Kwani zilizogunduliwa calculator akili zetu zilisimama?
Ukiona hivyo ujue elimu kwa sasa siyo dili, hiyo sector inapaswa kuboreshwa na katika ufundishaji. Na katika maboresho muda wa masomo ipunguzwe, kama degree inachukua miaka 3, sasa iwe miaka 1. Waache kuwa wanawapa maswali mbuzi ambayo tayari AI anafanya.
Mfano, ATM za bank zilipofungwa, tellers wengi walikuwa replaced, ila hao tellers lazima walipata kazi zingine maana walikuwa useless.
Wanafunzi kuliko kukaa darasani na kukariirishwa ujinga, ni bora waende shambani walime kilimo cha kisasa, kazi ambayo AI haiwezi fanya.
Kama kisekondari sekondari labda.Unauhakika, reference na google tu kwisha
Endelea kuamini kwenye kuandika huku mtaani inatakiwa efficiency ya ulichoandika!Kweli kaka nakubaliana na wewe, kuhusu cv nafungua bot langu naandika cv writting format kwishaaa kazi
FactEndelea kuamini kwenye kuandika huku mtaani inatakiwa efficiency ya ulichoandika!
Huku ni Deliverance!
Kuna kazi zinatangazwa na wanakosa watu kisa vijana hawana Efficiency/ Uwezo ni mdogo!
Sasa wewe endelea kutumia AI ila Jua kwenye Kufanya Kazi utakuwa wewe na mwili wako sio AI.
Itumie AI kukurahisishia kazi sio AI ikufanyie kazi na kichwani ubaki mtupu.
Hapa nilipo Kuna kazi anahitajika mtu ila huyo mwenye hiyo kazi anasema watu anaowapata hawaridhishi kiuwezo!
Tena kipindi hiki ambacho wenzako wanategema AI wewe ndio ingebidi ujitahidi uwe na Competence ya hali ya Juu utapata soko haraka sana!