matumizi:nimenunua ipad 3

matumizi:nimenunua ipad 3

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
wakuu nimenunua ipad 3 yenye gb 16 xaxa mimi niwe muwaz ni mtupu kwa ipad naomba mnijuze naweza ingza microsoft word apo na mengne oayojua oambie
 
Huwezi kufanya installation kama ktk pc/laptop za kawaida. Kila kitu unanunua au unadownload for free online. Kwahiyo iliuanze kuifaidi ipad yako, ni better kwanza ukihakikisha una internet connection (kwa wireless au 3g) hafu nenda apple store (imo humo humo ktk menu ya ipad yako) ndo huko kila kitu unapata kwa ku download and kuistall. Vipo va bure na vingine unachangia kidogo usiogope.. kidoogo tu.

Mambo mazuri yana gharama.
 
Ingekuwa Samsung Tablet ningetoa mchango wangu ,kwa mfano kama livyosema mdau unatakiwa ushushe apps wewe mwenyewe ,kwa Samsung tablets apps nyingi ni bure ,kwa word na excel unatumia Polaris ,uzuri wa tablets hasa upo katika kukaa kwa betri bila kuchaji kwa muda mrefu,pia kwa kusoma emails,vitabu ,magazeti na kupiga na kurekodi picha za video na mnato,na mambo mengine ,ila kwa kikazi baado ni cha mtoto kwa Laptop,ni bora kwanza uwe na laptop ndio ununue tablet.
 
Kuna apps zenye kufanya kazi kama hzo, some are free some are paid. Ukikwama saana sema uko wapi tukuelekeze mkuu.
 
What was your intention kabla ya kununua? Ulitaka uitumieje?
 
mimi laptop ninayo nlinunua ipad kwa ajil ya net nkiwa safarin kwa mfano na kupga picha hapo kwa picha iko poa sasa nkiingza modem haiung cjui ni nini
 
I hope hii kitabu kitakusaidia..
416218481_370.jpg


Download: The Complete Guide to The New iPad.rar​
 
Kama huwezi kuitumia niuzie,kwanini upate shida mkuu,nunua blick game lol!
 
we ulizaliwa unajua ndugu acha kujifanya mjuaji
 
wakuu nimenunua ipad 3 yenye gb 16 xaxa mimi niwe muwaz ni mtupu kwa ipad naomba mnijuze naweza ingza microsoft word apo na mengne oayojua oambie

mimi hapo sina mchango noja kina i411 waje, anyway hongera kwa kununua iPad
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwa Samsung Tablet ningetoa mchango wangu ,kwa mfano kama livyosema mdau unatakiwa ushushe apps wewe mwenyewe ,kwa Samsung tablets apps nyingi ni bure ,kwa word na excel unatumia Polaris ,uzuri wa tablets hasa upo katika kukaa kwa betri bila kuchaji kwa muda mrefu,pia kwa kusoma emails,vitabu ,magazeti na kupiga na kurekodi picha za video na mnato,na mambo mengine ,ila kwa kikazi baado ni cha mtoto kwa Laptop,ni bora kwanza uwe na laptop ndio ununue tablet.

Unachohitaji ni separate keyboard tu na kitu kama Samsung Note 10.1 yenye quad core inakuwa laptop kabisa yenye uwezo kupita Dell nyingi.
 
Back
Top Bottom