Matumaini mapya yameanza kuchomoza - Zitto Kabwe


Tatizo hujui unachokisema, unakisia tu.

Ni mtaji gani Tanzania unaolipiwa kodi?
 
badala ya serikali kutuma wahandisi na watafiti waliobobea kwenye fani hiyo ya nishati wanatuma wabunge/wanasiasa? so wanasiasa watakuja kuwafundisha wahandisi namna ya kutafuta gesi na mafuta au itakuwaje?? wastage of of public funds!!
Pole kijana, Hii ni juhudi binafsi ya wabunge na serekali aihusiki hapo, sasa jiulize serekali yako inafanya nini? hivi unategemea wapo tayari kwa uwazi?
 
Nimemsoma Zitto,kuna kitu sijakiekewa.Je Zitto amekwenda kama Mtaalam wa Mambo ya Gas na Mafuta au kama mwanasiasa anayejua mikataba ya kimataifa ya Gas na Mafuta?,au kama nani?,sielewi.

Ni vema urudi Darasani,Mtanzania mzalendo kwenye hili unaweka siasa,kwani ameenda kwa maslahi ya chadema au?
 
Wataalam wanaachwa wanaenda wabunge/politicians. usome uchumi halafu ukajifunze gas over night. Hapa ndo tunapopotea, ziara za mafunzo kwa mawaziri kibao wataalam wanaachwa maofisini kesho anahamishwa, hamna kitu hapo.
You are absolutely Right! Ni kweli kabisa! Hii ni kasoro kubwa!
 
Mbio kuelekea urais 2015,simpend xana huyo dogo anapenda xana personal popularity hafanyi vitu kwa dhamira ya kwel bt PP
 


Kwa kweli hata mimi huwa najiuliza kunani mpaka jamaa wagawe vitalu vya utafiti wa gezi utadhani tuna mpango wa kuhama hii nchi hivi karibuni. Hivi haiwezekani kugawa vichache na kuviendeleza mpaka tuone matokeo ili tuweze kuamua iwapo tunahitaji kuendelea na hiyo biashara au la?
 
Ronal si unajua mikozi yao hawa jamaa huchukua mda mrefu sana!
Kuna jamaa alienda kamua mambo ya maji from masters mpaka PHD alikula 15 years!
Usikute nae yalimkuta hayo!Au aliunga na kaajira kidogo.
Ila kwenye lile kundi naona kama wote ni wabunge nadhani wakija wanaweza kuja na proposal ya kupeleka wataalamu ili wakienda wataalamu wa hayo mambo tuu kuwe na 2nd eye si unajua Tz kwa sasa changa la macho au kuingizwa chaka ni kitu cha kawaida
 
No issue kama hizi za maslah ya nchi huwa wanaenda kwanza wakubwa kuongea kikubwa na negotiation ya kupeleka wataalam ndo huwa inajadiliwa hapa.Hii ni kwa nchi zote sio Tz tu,seikali ipo sahihi kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…