Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Nyamayao....Hizi risks/adventures zinaokoleza utamu wa ishu yenyewe...

mhh bac tu, nikisomaga hivi nikifika home naliangalia kwa jicho la upande....nahic kashanifanyia mengi tu mie nikihuzunika kumbe nimesetiwa.
 
....daaaah, nimecheka sana. Kuna watu wamedata hapa duniani...ha ha ha!
Asprin hiyo ya kujipeleka Lupango powa sana aisee, ha ha ha...usingizi hauna adabu hata kidogo. Roya Roy wajanja walivyokwapua Skuna na story ya shoe shiner umeniacha hoi kweli kweli...!

yaani mie nimeckitika sana, mtu mzima unadanganywa hivi kweli...nikijua ckusamehi kirahic, cjui nitakupa adhabu gani.
 
Uzuri ni kwamba haya mambo huwa hayapangwi wala hayarudiwi. We endelea kusubiri akudanganye alikuwa lupango.........

Wenzako wanaondoka na baibo home wanadanganya wanaenda church kumbe.......lol!

Mkuu umepatia 100%....ni kwamba kila 'specific incident' ina 'specific solution'.....Rule # 1: DO NOT REPEAT EXCUSES!
 
aaaah umenichekesha sana

wakati huo wewe umeaga umeenda kwenye party fulani, yeye ikifika saa mbili ni cm mfululizo, kwanini mpaka saa hizi, kwanini hivi na vile, ikipita dk 20 hujafika home usiingie nyumbani kwangu, kuna cku nilipitiliza haswaa nikafika getini nikamwambia dk 20 zimekuwa lisaa ndio nipo hapa getini inakuwaje? nafunguliwa au?...hiyo kasheshe niliyoletewa wacha kabisa...lakini wao sasa.
 
hivi hamtuonei huruma wenzenu jamani! sasa na wewe hicho kidada cha chuo c kukuchuna tu kwani kuna la ziada, hivi mnafikiriaga kuwa wanawapenda kweli....yaani mie nikilikuta naharibu jumla, nita pluc hiki na kile then naharibu kabisa....ole wake.
Tunawaonea huruma ndo maana tunawadanganya...you are not supposed to know.....
 
....daaaah, nimecheka sana. Kuna watu wamedata hapa duniani...ha ha ha!
Asprin hiyo ya kujipeleka Lupango powa sana aisee, ha ha ha...usingizi hauna adabu hata kidogo. Roya Roy wajanja walivyokwapua Skuna na story ya shoe shiner umeniacha hoi kweli kweli...!
Unajua Mkuu ukiwa na mda wa kutosha unatunga riwaya nzuri sana....you leave hole!
 
Uzuri ni kwamba haya mambo huwa hayapangwi wala hayarudiwi. We endelea kusubiri akudanganye alikuwa lupango.........

Wenzako wanaondoka na baibo home wanadanganya wanaenda church kumbe.......lol!

mhh...bwana weee ni mtu acwafatilie mambo yenu kaisa, mana atafariki na kisukari cha ghafla, shida ni hapo kwenye magonjwa, umetulia ndani umeletewa.....nackia mpaka kulia.
 
Unajua Mkuu ukiwa na mda wa kutosha unatunga riwaya nzuri sana....you leave hole!

...ha ha ha, kwakweli! Ila inabidi uwe hodari kweli wa kuukumbuka huo uongo, kina Bi-mkubwa wengine hawasahau bana. Anakuvizia siku ya siku anakupiga swali la ukumbusho, hujajibu sawasawa anakupiga na swali la nyongeza "mbona siku ile ulisema vile?...." ...mzee mzima unabakia kujiuma uma...
 
jamani ina umiza sana, hivi kwanini hawa watu wanatufanya wajinga hivi?.....kwanza mie kitendo cha kumtoa tu polic kwa sababu zake ziczo na kichwa wala miguu na kuniletea usumbufu usio na lazim mie laki yangu angeilipa..

inaumiza si kidogo, kwanza umepoteza usingizi wako kwa kuwaza mwenzio kapatwa na nn, asbh unaamkia police post na hela unatoa. kumbe unachekwa kiaina, wanaume hawa sijui wakoje.
 
....daaaah, nimecheka sana. Kuna watu wamedata hapa duniani...ha ha ha!
Asprin hiyo ya kujipeleka Lupango powa sana aisee, ha ha ha...usingizi hauna adabu hata kidogo. Roya Roy wajanja walivyokwapua Skuna na story ya shoe shiner umeniacha hoi kweli kweli...!
Unajua kiongozi haya mambo huwa yanatokea tu. Ukishakuwa na maeksipiriensi ya kucheat wala hata huumizi kichwa!!
Sikiliza hii tena:

Unafanya kazi za shifti. Ukiwa zamu ya usiku unachukua sicksheet unakamata EDs zako mbili. Night shifti unaipiga gesti na dasophy. Kumbe mtaani majambazi yamefanya vitu vyao. Polisi wanafanya msako nyumba za wageni. Wote waliokuwa gesti ambao si mke na mme wanapelekwa lupango. Kasheshe ni kuwa polisi mmoja wa kike ni rafiki yake na waifu wako..............Kama huna uzoefu hapo ndoa si ndio kwishnei? Sasa ulizia kazi iliyofanyika hapo............!

Sasa ulizia mchezo ulivyochezwa hapo........
 
yaani mie nimeckitika sana, mtu mzima unadanganywa hivi kweli...nikijua ckusamehi kirahic, cjui nitakupa adhabu gani.

...kisu hicho mamie, kinakata pande zote. Kuna wanawake waongo balaa...
Nawaogopa sana hawa kina mama wanaofanya kazi za shifti za usiku,...unaweza mpeleka mpaka getini kazini kwake, kumbe mwenzio yupo likizo.
Ukigeuza gari naye huyo anaita teksi...
 
inaumiza si kidogo, kwanza umepoteza usingizi wako kwa kuwaza mwenzio kapatwa na nn, asbh unaamkia police post na hela unatoa. kumbe unachekwa kiaina, wanaume hawa sijui wakoje.

bado tena unadhalilishwa kwa frnds zake, unawakuta hapo kituoni na "pole shemeji" za unafiki, afadhali angekuwa ni yeye mwenyewe, unadhalilika na kwa marafiki tena...inauma sana.
 
...ha ha ha, kwakweli! Ila inabidi uwe hodari kweli wa kuukumbuka huo uongo, kina Bi-mkubwa wengine hawasahau bana. Anakuvizia siku ya siku anakupiga swali la ukumbusho, hujajibu sawasawa anakupiga na swali la nyongeza "mbona siku ile ulisema vile?...." ...mzee mzima unabakia kujiuma uma...

Acha bana...mi aliniuliza kama nishamwona yule 'shoe shine', ilikua wiki iliyopita ana isshu yenyewe ina ka miezi mi3! Bahati nzuri niliikumbuka.
 
Unajua kiongozi haya mambo huwa yanatokea tu. Ukishakuwa na maeksipiriensi ya kucheat wala hata huumizi kichwa!!
Sikiliza hii tena:

Unafanya kazi za shifti. Ukiwa zamu ya usiku unachukua sicksheet unakamata EDs zako mbili. Night shifti unaipiga gesti na dasophy. Kumbe mtaani majambazi yamefanya vitu vyao. Polisi wanafanya msako nyumba za wageni. Wote waliokuwa gesti ambao si mke na mme wanapelekwa lupango. Kasheshe ni kuwa polisi mmoja wa kike ni rafiki yake na waifu wako..............Kama huna uzoefu hapo ndoa si ndio kwishnei? Sasa ulizia kazi iliyofanyika hapo............!

Sasa ulizia mchezo ulivyochezwa hapo........

Lol, ha ha ha...hebu endelea hapo unajiteteaje kwa 'shemeji' ...!
 
...kisu hicho mamie, kinakata pande zote. Kuna wanawake waongo balaa...
Nawaogopa sana hawa kina mama wanaofanya kazi za shifti za usiku,...unaweza mpeleka mpaka getini kazini kwake, kumbe mwenzio yupo likizo.
Ukigeuza gari naye huyo anaita teksi...

wakati mwingine mtu kajichokea anaona bora tuuane tu...maisha haya sio maisha kabisa.
 
Acha bana...mi aliniuliza kama nishamwona yule 'shoe shine', ilikua wiki iliyopita ana isshu yenyewe ina ka miezi mi3! Bahati nzuri niliikumbuka.

Kaka hebu punguza kidogo kuvunja mbavu zangu lol! Manake kweli huchelewi kusahau: Usithubutu kusahau ulichodanganya... RULE No. 2
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom