Matukio yaliyopelekea kuaawa kwa marapa wakubwa Tupac na Biggie. (Pata kujua mhusika wa halisi wa mauaji hayo)

Hazikuitwa 'So-So awards' bali Source awards, na Suge hakusema ulivyosema. Rudia tena homework yako hii kama uko serious na hustle arif, ina upotoshaji mkubwa.
 
Hitimisho: kuna mambo mengi sikoyaandika kwenye kisa hiki ila nina amini Skinner alihusika kwenye mauaji hayo. Kwa mfano akiwa gerezani aliweza kuipenyezewa simu mabyo aliitumia kumtishia mwendesha mashitaka wa Texas, polisi vamia anapolala kujaribu kutafuta hiyo simu hawakuipata ila walikuta line za simu mbili kwenye Biblia aliyokuwa nayo. Baadaye walimpiga X-ray iliyoonyesha kuwa alikuwa na simu kwenye utumbo wake.

Hii inadhihirisha kuwa Skinner alikuwa ni muarifu mzuri tu.
1) Unaruhusiwa kuamini chochote.
2) Unaweza kutueleza mazungumzo ya simu kati ya Skinner na "mwendesha mashitaka" aliyetishiwa yalikuwaje?
3) Skinner kuwa "mhalifu mzuri" inatosha kuthibitisha kuwa yeye ndiye aliyefanya mauaji ya familia tajwa?
4) Koti lililokutwa eneo la tukio liko wapi?
5) DNA ya "mtu mwingine" ambayo inaonekana kukutwa katika eneo la tukio(yenye uhusiano na Twila) ni ya nani?
 
wameuwawa na wasiojulikana na ao jama wanaendelea kuuwa watu hadi uku bongo na burundi na congo
 
1) Unaruhusiwa kuamini chochote.
2) Unaweza kutueleza mazungumzo ya simu kati ya Skinner na "mwendesha mashitaka" aliyetishiwa yalikuwaje?
3) Skinner kuwa "mhalifu mzuri" inatosha kuthibitisha kuwa yeye ndiye aliyefanya mauaji ya familia tajwa?
4) Koti lililokutwa eneo la tukio liko wapi?
5) DNA ya "mtu mwingine" ambayo inaonekana kukutwa katika eneo la tukio(yenye uhusiano na Twila) ni ya nani?

Huo ni mtazamo wangu kama mtu yoyote tu lazima awe na upande..
Mimi sababu zangu za kuamini zime base kwenye mambo haya
1. Skinner alisema aliposhtuka alimuona mtu kasimama mbele yake ana kisu, akarusha mikono juu ndipo yule mtu alimkata kidole cha mkono wa kulia kisha alikombia kutoka nje na kukimbilia kwa huyo ex wake.
Je kama alikuwa hivyo, ile alama ya vidole vyake vyenye damu iliyokutwa kwenye mlango wa chumba cha Gray ilitoka wapi? Kwa maelezo yake ina maana hakwenda kwenye chumba cha Gray alitoka kwenye kisu na kukimbilia nje moja kwa moja.
2. Ni mtu wa namna gani anayeweza kuona mpenzi wake kauawa na mwanae wa kufikia ila yeye akimbie na tena asitoe taarifa wala kuomba msaada ila akimbie kutafuta msaada wa kushonwa jeraha, tena msaada wenyewe autafute kwa mtu tu na siyo hospital maana alijua kuwa atakamatwa.
3. Kuhusu DNA za zile nywele walisema imetoka kwa mtu mwenye undugu na Twila upande wa mama. Kuna vitu ambavyo DNA za upande wa mama wa Twila walikuwa wameridhi, pia Twila alikuwa kawarihisha watoto wake. Hivyo kuna arguement kwamba zile nywele zingeweza kuwa za mmoja kati ya watoto wake. Maana hawakusema exactly ni nywele za nani ila kutokana na kukua zimebeba hicho kitu ambacho pia wanae walikuwa nacho kwenye DNA zao.
4. Koti lilipotea kama nilivyosema hapo juu, lakini ushahidi wa evidences nyingine zilizobaki bado ulikuwa unamfunga Skinner.
Maongezi baina yake na mwanasheria yalikuwa yakumtisha na line za simu pamoja na simu vilipatikana kwenye miliki yake.
Kwa upande wangu, bado kuna maswali mengi ya kujiuliza ila hayana nguvu ukiringanisha na ushahidi uliomtia hatiani.
 
Soma kwa umakini point zangu za awali kuanzia point namba mbili, with the open mind, kisha tafuta majibu yake kwa utulivu.
Ukipata majibu yasiyo na mashaka yaweke hapa kila moja kwa namba yake.
Karibu utufungue macho.
 
Namba mbili nimekujibu tayari kuwa mazungumzo ya simu na msgs toka kwa skinner akimtishia mwendesha mashitaka yaliniswa. Na hii mimi sikuitumia kama hoja ya kufikia conclusion kuwa ndiye mhalifu.
Na point yako ya tatu inajibiwa nilichoandika hapo juu, sikufikia kusema skinner ndiye muuaji kwakuwa alikuwa mhalifu aliyekubuhu bali nimefikia kusema skinner ni mhusika kwa point nilizoorodhesha awali ambazo ni alama za vidole na kutotoa kwake taarifa.
Point ya DNA ya nywele nimeshakujibu
 
Naomba nikwambie tu kuwa kwa hizo point tatu nilizozihoji, huwezi ukazijibu kwa mistari mitatu/minne. Huo ni uchunguzi ambao unawezakuwa na possibilities nyingi mno. Hilo ni jambo la kiupelelezi ambalo data pekee ndizozinaruhusiwa kuongea, siyo hisia. Nikipata muda nitakuja kukuambia kwanini nimehoji zile point 3.
Kiranga hebu pitia huku tujenge hoja(isome habari hii ya Skinner kisha toa mawazo yako).
 
Kwnye upelelezi kuna kitu kinaitwa Circumstantial evidence (Ushahidi wa kimazingira). ila pia nimekuuliza swali ile alama ya vidole vyenye damu ambayo ni skinner ilifikaje kwenye chumba cha Grey wakati yeye anadai alivyonyanyuka kwenye kiti alikimbia nje?
Halafu mimi siyo polisi wa kuproof hayo mimi kama raia nimeongea kwa mtazamo wangu japo pia kuna maswali mengi yasiyo na majibu hasa lile koti ambalo nalo huenda lingepimwa wangekuta dna ya Skinner kama ambavyo ushahidi mwingine ulikutwa na dna yake. Ila binafsi ninaamini ndiye muaji, siyo kwamba nataka nyote muamini hivyo ndiyo maana nimesema binafsi.
 
Namba mbili nimekujibu tayari kuwa mazungumzo ya simu na msgs toka kwa skinner akimtishia mwendesha mashitaka yaliniswa. Na hii mimi sikuitumia kama hoja ya kufikia conclusion kuwa ndiye mhalifu.
Na point yako ya tatu inajibiwa nilichoandika hapo juu, sikufikia kusema skinner ndiye muuaji kwakuwa alikuwa mhalifu aliyekubuhu bali nimefikia kusema skinner ni mhusika kwa point nilizoorodhesha awali ambazo ni alama za vidole na kutotoa kwake taarifa.
Point ya DNA ya nywele nimeshakujibu

2) Kwa kuwa hatujasikia au kuambiwa mazungumzo kati ya Skinner na mwendesha mashitaka:

I) Hatujui kama waliongea kweli ama la.

II) Hata kama waliongea bado hatuwezijua waliongea nini, hivyo hatuwezijua kama Skinner alimtishia mwendesha mashtaka au la.

III) Hivyo hiki hakiwezi kuwa kigezo cha kusema Skinner ndiye muuaji.

3) Skinner anaweza kuwa mhalifu aliyekomaa au aliyeua watu wengi(if any) lakini asiwe aliyeua familia ya Twila.

4) Koti lililokutwa eneo la tukio, ambalo lilionekana kwenye picha za upelelezi linasemekana kuwa kubwa kwa Skinner japo hiki siyo kigezo cha kusema lilikuwa au halikuwa la Skinner ila kumbuka pia kuna mtu alilitambua kuwa lilikuwa la Uncle Bob. Vilele tunaambiwa kuwa usafi aliofanya Bob kwenye gari lake siku iliyofuatia mauaji haukuwa wa kawaida. Hii nayo haitoshi kusema Bob ndiye muuaji. Lakini kikubwa zaidi na cha kushangaza,tunaambiwa hawa wapelelezi wanauwezo wa kutunza mpaka kucha na nywele kwa muda mrefu kwa ajili ya vielelezo, ilikuwaje kitu kikubwa kama koti kipotee katika mazingira ya kutatanisha mara tu baada ya sheria kuruhusu DNA kupimwa kwenye kesi hiyo? What if kuna watu walilazimika kupoteza ushahidi huu muhimu ili kulinda ajira zao kwa kuwa wanajua tayari kuna sehemu walikosea na hawataki makosa yao yajulikane?

Vipi kama hawa jamaa walishapima DNA kisiri siri na kugundua bila shaka kuwa lile koti lilikuwa la Uncle Bob na alikuwa amelivaa siku ya tukio lakini wakaamua kulinda maamuzi yao ya awali na kuamua kulipoteza koti kwa makusudi?

5) DNA ya mtu mwingine inayoonekana kukutwa eneo la tukio na kufanana na ya upande wa Twila yaweza kuwa ya watoto, lakini usisahau kuwa Twila na Bob wana uhusiano wa damu kwa hiyo vinasaba vinavyoweza kuwa kwa Twila most likely vinaweza kukutwakwa kwa Bob na kinyume chake. Hii nayo inaweza kuwa ushahidi kuwa Bob alikuwepo kwenye tukio.

Pia usisahau watu wanaosema waliwaona Bob na Twila kwenye tafrija ya kufunga mwaka. Je, unafahamu waliachana vipi na muda gani?

Je, unakumbuka violence alizokuwa akifanyiwa Twila zingeweza kuleta yoye haya?

Swala la Skinner kukimbia bila kutoa taarifa polisi pia lina mambo mengi, yawezekana jamaa alikuwa kalewa bado,au inawezekana alikuwa muoga akaona afunge mdomo wake ili asije akafanyiwa kitu mbaya kwa u-snitch.

Hili la alama za vidole(vya Skinner) kukutwa kwenye eneo latukio pia haliko wazi sana kwa kuwa wakati Skinner anasema aliamka na kukimbia, kumbe aliamka, katika kujitetea akawa amekatwa mkononi na akawa anakimbia huku na kule akijaribu kutafuta msaada mpaka akakimbilia huko chumbani kwa Grey na kuacha damu na baadaye kufanikiwa kutoka nje. Lakini kwa kuwa alikuwa kalewa anaweza asikumbuke kilichotokea.

Kwani wewe hushangai iweje mtu mmoja aue watu wote hawa wakiwa ndani? Aliwaua kimya kimya mmoja mmoja au wote walikuwa sehemu moja wakashindwa kujitetea? Mbona mwingine alikutwa kitandani kwake kama kalala?

Hili swala ni pana sana mkuu. Huwezi kuhukumu kwa fikra tu.
 
Mwana nakupa big up sana.stori zako zina msisimko sana.tupia episode tule maburudani
 
You made your point.
Lakini mimi bado ninaamini kuwa Skinner ndiye muuaji.
Haiwezekani mlevi ajue pa kukimbilia kushonwa jelaha lake lakini asikumbuke kuwa familia yake huko imeuawa na kaacha muaji ndani kwake, tena akiwa kashuhudia mtu anayedai kuwa alikuwa anampenda kuliko kitu chochote duniani.
Pia kwangu swala la taulo kuwa na DNA isiyofahimika ninaona ni sawa kwakuwa ilikuwa ni taulo ya kukaushia mikono huenda alikuja mtu mle ndani aliponawa akakausha mikono kwa ile taulo.
nakubariana na wewe kwamba huenda siye mhusika kwasababu kuna mambo mengi hayafafanuliwa lakini kwangu mimi naona ndiye aliyeua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom