Matukio ya 'wasiojulikana', 90% yametoka Bara

Matukio ya 'wasiojulikana', 90% yametoka Bara

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Watu wasiojulikana.png

Ripoti ya Haki za Binadamu mwaka 2024 inaonyesha matukio ya wasiojulikana kwaukijumlisha matukio ya bara na visiwani Zanzibar, asilimia 80 mpaka 90, kwa ujumla wake wote yanakuwa yanatokea huku bara"

 
Samia ameunda kikundi cha wahuni wa kutoka nchini kwake cha kuua na kuteka watu wa bara.
 
Back
Top Bottom