Mfano weee
cocastic ikienda bar unaingia choo kipi?cha kike au cha kiume?Hata hivyo mtu yoyote hana haki ya kutoa uhai wa mwingine, wala kumuamulia mwingine namna ya kuishi wala kuutumia mwili wake, only problem itakuwa kama unaingilia maisha yangu na watoto wangu...watu wengi wanakuwa offended mashoga wanapojaribu kupandikiza ushoga wao kwenye jamii ambayo haijaaamua kuwakubali