ingawa ushoga ni uovu mbaya katika jamii Kila mtu anahaki ya kuishi ikumbukwe shoga , wanawake wanaofirwa, wanaozama chumvini, wanaume wanaofira wake zao au michepuko , wote ni uovu ulio kundi 1 hawana tofauti kwamba MUNGU anamchochea mtu amuue mwingne wakati huo huo anayeua anafanya uovu🤕