Mabehewa ya SGR KUWA YA MGRMwaka 2022 unakabiria kufikia ukingoni, tufanye tathmini ya matukio ya kisiasa yaliyotikisa mwaka 2022 ambayo yaliingia kwenye mjadala mkubwa wa kitaifa.
1. Tukio la Spika wa Bunge, Job Ndugai aliyechaguliwa kikatiba kujiuzulu
2. Mbunge Luhaga Mpina kuibana Serikali bungeni kwenye mambo yanayowagusa wananchi mfano Mfumko wa Bei, kukatika kwa umeme, Kupanda kwa bei ya mafuta, mgogoro wa bei ya mbolea na Deni la Taifa ambapo hadi mwaka unaisha Serikali haijashughulikia matatizo hayo
3. Mpina kukatwa jina na vikao vya CCM kugombea nafasi ya NEC licha ya wagombea kuteuliwa karibu 170
4. Dkt. Bashiru Ally kuwataka wakulima wadai haki waache kusifu na kushukuru akashambuliwa na kina Kigwa, Lusinde na Msukuma
5. Lukuvi na Simbachawene kushindwa NEC
Mengine tuendelee
Hili la Shujaa Majaliwa na mlango wa ndege limesemwa au tusubiri mpaka Kasim Majaliwa naye atunukiwe PhD?Kuongopewa kwamba wazuri hawafi na mgosi Mmoja wa kaya wakati kifo hakiangalii sura, umbo,tabia Wala Mali ulizinazo .
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kubaki madarakani kimabavuCCM ni hatariii View attachment 2448627
Hivi vile vichwa vya treni vya kuokota bandarini bado vinapatikana au viliondoka na Yule dhalim?Mabehewa ya SGR KUWA YA MGR
Ktk orodha yako hii tukio ni moja tu (no. 1). Mengine haya ni vijomambo tu.Mwaka 2022 unakabiria kufikia ukingoni, tufanye tathmini ya matukio ya kisiasa yaliyotikisa mwaka 2022 ambayo yaliingia kwenye mjadala mkubwa wa kitaifa.