Matukio ya Jana katika Picha

Matukio ya Jana katika Picha

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
10173811_10203166906997437_2812632903360337172_n.jpg

10421217_10203166908077464_6161079309099316655_n.jpg

10376914_10203166907397447_7287114926257488419_n.jpg

1467187_10203166908837483_8572146359752955478_n.jpg
 
Huyu mzee nae ajipumzikie tu,sijui anahangaika na nini sa hivi kuhangaika majukwaani wakati watu wamepagawa.serikali inafanya kazi na wahuni anategemea nini
 
Huyu mzee nae ajipumzikie tu,sijui anahangaika na nini sa hivi kuhangaika majukwaani wakati watu wamepagawa.serikali inafanya kazi na wahuni anategemea nini

Mkuu unafikir Nyerere angekuwepo leo asingeongea juu ya miiko ya uongozi? Asingesemea taifa alilokalijenga na leo jins linavyopotea?

Mbona hujauliza kingunge alienda kufanya nn bungen?

katiba inajenga kizazi cha sasa na kijacho hivo ni wajibu wake kuwatengenezea njia wajukuu na vilembwe vyake, na wananchi wengine kama ww na wanak ili wasinyanyasike katika taifa lao……!!
 
Huyu mzee nae ajipumzikie tu,sijui anahangaika na nini sa hivi kuhangaika majukwaani wakati watu wamepagawa.serikali inafanya kazi na wahuni anategemea nini

wazaz wako wangepumzka kukulea ungeish maisha gn jombaaa.. Ktk maisha hkuna kitu kinaitwa kupumzka.
 
Kumbe ndiyo mbinu ya ccm? Hata mfanye nini sisi wananchi tuko nyuma ya Warioba.
 
Niulize na wale wana jf walienda wapi vile kukutana juzi ni Serena hotel au? na kama walienda ndio hawa waliobeba mabango au? nao pia walipokea 50000? mwenye majibu anisaidie
 
Wote hao walioshika mabango wana maisha magumu, pili hawajui ugumu wa maisha yao umesababishwa na CCM, ukiwa kijana na ukajiunga na CCM huwezi kujenga hoja mbele ya watu bila kuvuta ugoro au bangi,au unga coz chama ni kichafu lakini wanalazimisha kukisafisha
 
Back
Top Bottom