Hapo red nilitegemea labda unasema escape!
Kama alivyokueleza mdau mmoja hapo juu, njia salama kabisa kuepuka risk hiyo ni kulala chini flat, na kutegemeana na eneo lenyewe unaweza kutambaa kwa tumbo.
Kama mazingira hayaruhusu kulala na kutambaa, basi waweza kimbia kwa kuepuka msitari mnyoofu, yaani kukimbia zig-zag!