Matukio Mawili yaliyotokea Mwanza na Arusha leo Tarehe 3 Disemba

Mabula wote,wa Nyamagana na wa Ilemela wapo safarini.
Mwanza ni mji wenye ongezeko kubwa la watu,Manispaa ikiwatengea machinga maeneo na kuhakikisha usafiri wa kufika maeneo ya biashara,machinga watapata wateja na kipato.
 
Kuichagua ccm isiwe tiketi ya kufanya chochote bila taratibu
Za kisheria hata rais aliwaambia
Machinga wakae na viongozi wa
Jiji wakubaliane ndani ya miezi 3
Na maeneo waliyotengewa yapo
Kabisa ila kwa kuwa mmegeuza
Kila jambo ni siasa shauri yenu
Sisi wengine hayatuhusu tumewachoka
hayo maeneo yaliyotengwa watamuuzia nani vitu vyao?
 
Rais ni wa Watanzania wote waliomchagua na wasiomchagua hivyo hata kesho wakigawa Moshi siyo mbaya wanastahili.
 
Rais ni wa Watanzania wote waliomchagua na wasiomchagua hivyo hata kesho wakigawa Moshi siyo mbaya wanastahili.
Bukoba vipi hawastahili kifuta machozi hata kwa hela tulizochanga? Wa Arusha mapikipiki kibao, kwa nini wasingeyapeleka kuwafuta machozi wahanga tu. Kaya 200 zilizoathiriwa na tetemeko zingepata pikipika za kukodisha na kujikimu. Poleni Bukoba
 
CCM wataendelea kuwafanyizia wapinzani/Watanzania kadri watakavyo.

why?

because wanajua hakuna madhara watakayoyapata. watu wakifanyiziwa badala ya kufanya kinachohitajika kufanya wao wanakimbilia kwenye social media kulialia. topic ita-trend wee hadi utamu uishe and then business as usual.

sijui tumerogwa??!
 
Kweli CCM inaongozwa na wahuni!
Tumegundua janja yenu ya kuendelea kumzuia Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Lema! Hizi ni kampeni za kihuni!

Hofu yenu nini hada mpaka mnazuia Mbunge kwa kumunyima dhamana ili kuja kufanya Kampeni za kihuni kama hizi?
Mkuu sehemu mbili ccm isahamu kupata ushindi Arusha na Pemba.
 
Back
Top Bottom