Usihofu , kwa Arusha hata ccm imsimamishe " mungu " wao itaangukia pua tu .Kweli CCM inaongozwa na wahuni!
Tumegundua janja yenu ya kuendelea kumzuia Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Lema! Hizi ni kampeni za kihuni!
Hofu yenu nini hada mpaka mnazuia Mbunge kwa kumunyima dhamana ili kuja kufanya Kampeni za kihuni kama hizi?
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewakabidhi vijana 200 pikipiki mpya kila mmoja bure mkoani Arusha katika mradi uliobuniwa na Mkuu wa Mkoa huo, Mrisho Gambo.Mbona pikipiki nying sana duh kuna namna hapa c bure
UK semi Pikipiki wamechukua ila Nina khakis zimepotea Bure. Arusha ni tofauti mno. Wanajiamini na Maendeleo yao yamekuwa juu wakiwa na upinzani. Yaani pole sana chama changu CCM.
Hii mungu andika kwa herufi ndogoUsihofu , kwa Arusha hata ccm imsimamishe Mungu wao itaangukia pua tu .
Ukweli Pikipiki wamechukua ila Nina hakika zimepotea Bure. Arusha ni tofauti mno. Wanajiamini na Maendeleo yao yamekuwa juu wakiwa na upinzani. Yaani pole sana chama changu CCM.