Matukio Mawili yaliyotokea Mwanza na Arusha leo Tarehe 3 Disemba

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Anaandika Diwani Mathias Pauli Lyamunda.

Matukio Mawili yaliyotokea Mwanza na Arusha leo Tarehe 3, December. Mwanza walichagua CCM na Arusha walichagua CHADEMA, Uchaguzi 2015. Mwanza wamachinga wamelia na kusaga meno leo kuharibiwa biashara zao na kuondolewa kwenye maeneo yao ya biashara na zikatupwa hapo kwenye uwanja wa Uchafu Kuoga Igogo, na kwa upande wa pili Arusha wamechekelea hadi jino la Mwisho leo kwa mgao wa pikipiki wa kihistoria uliofanyika leo. Kati ya Mwanza na Arusha akina nani unadhani hawakudanganyika Uchaguzi ya 2015. majibu ni hapa hapa tu. [HASHTAG]#KuisomaNamba[/HASHTAG]
FB_IMG_1480792127050.jpg
FB_IMG_1480792121860.jpg
 
Kuichagua ccm isiwe tiketi ya kufanya chochote bila taratibu
Za kisheria hata rais aliwaambia
Machinga wakae na viongozi wa
Jiji wakubaliane ndani ya miezi 3
Na maeneo waliyotengewa yapo
Kabisa ila kwa kuwa mmegeuza
Kila jambo ni siasa shauri yenu
Sisi wengine hayatuhusu tumewachoka
 
Mbona pikipiki nying sana duh kuna namna hapa c bure
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewakabidhi vijana 200 pikipiki mpya kila mmoja bure mkoani Arusha katika mradi uliobuniwa na Mkuu wa Mkoa huo, Mrisho Gambo.
UK semi Pikipiki wamechukua ila Nina khakis zimepotea Bure. Arusha ni tofauti mno. Wanajiamini na Maendeleo yao yamekuwa juu wakiwa na upinzani. Yaani pole sana chama changu CCM.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom