Matthew 19:14 — Aya Inyoiharibu Dhambi ya Asili

Matthew 19:14 — Aya Inyoiharibu Dhambi ya Asili

YESU hakusulubiwa kwa sababu ya dhambi ya asili ...pia hakuna dhambi ya asili ya kula tunda ni upotoshaji wa madhehebu ya dini ..ni kweli yesu alisulibiwa kwa sababu ya dhambi zetu ila siyo dhambi ya asili ... WAKRISTO NI WAPUMBAVU SANA.
Mmh mkuu mbona unatumia lugha kali kutukana wa kuristo kwani wewe sio mkuristo ni dini gani?
 
Kwa madai ya mtoa mada na jinsi ulivyosema hapo , mbona Kama unampinga mtoa mada bila kujua unachokipinga
Sasa nani ambae sio mtoto mbele ya Mungu??? kwahiyo binaadamu wote ni watoto mbele ya Mungu kwa mjimbu wa Bibulia au sio mkuu?
 
Nina wakika wewe sio muislamu pia sio mbudhist sasa wewe ni dini gani?
Kuna milango mitatu
1)Baridi
2)moto
3)uvuguvugu .

Waislamu na wakristo wote mambo leo mpo kwenye uvuguvugu ndiyo maana mna dini, ila mnaishi kinafiki ...mimi nipo kwenye kundi moja wapo ya hayo mawili ila siyo uvuguvugu...
KUNDI LANGU LINAPATIKANA KWENYE UFUNUO 3:16 kasome huo ufunuo.
 
Tunahitaji kutafakari upya theologia na doctrine ya dhabi la asili kwasbabu ukisoma bibulia things don't add up

Wewe ni aberi jngekazania kitabu kile ambacho waandishi wake hawaeleweki maana kina mambo mengi maagizo ya shetani kama alivyosema Mohd kuwa alitokewa na shetani.

Biblia haina contradictions, kila kitu kipo wazi.
Biblia haikusema kuwa watoto ufalme ni wao, bali wale walio kama watoto, ufalme ni wao. Na kwenye kauli hiyo ililenga tabia za watoto (watoto hawana hila, siyo waongo, siyo wanafiki):
Matthew 19:14 is a Bible verse where Jesus says, "Let the little children come to me, and do not hinder them, for the kingdom of heaven belongs to such as these," emphasizing that a simple, trusting faith like a child's is essential for entering God's kingdom.

Tafsiri yake kwa Kiswahili:

Mathayo 19:14​

Lakini Yesu akasema, Waacheni watoto wadogo waje kwangu; wala msiwazuie; kwa maana walio mfano wa hao, ufalme wa mbinguni ni wao.

Original text:
Matthew 19:14: "ὁ δὲ Ἰησοῦς εἶπεν, Ἄφετε τὰ παιδία καὶ μὴ κωλύετε αὐτὰ ἐλθεῖν πρός με, τῶν γὰρ τοιούτων ἐστὶν ἡ βασιλεία τῶν οὐρανῶν" (Ho de Iēsous eipen, Aphēte ta paidia kai mē kōlyete auta elthein pros me, tōn gar toioutōn estin hē basileia tōn ouranōn), meaning "But Jesus said, 'Let the little children come to me, and do not hinder them, for the kingdom of heaven belongs to such as these'".

Zingatia maneno hayo, 'such as these' yaani 'walio kama hawa'.
 
Kwa madai ya mtoa mada na jinsi ulivyosema hapo , mbona Kama unampinga mtoa mada bila kujua unachokipinga
Utakuwa na shida hasa kwenye kusoma maandishi na umekataa kuelewa jambo usilolijua.
Tafadhali rejea majibu yangu kwa mtoa mada niliyokwisha kumjibu kwa kumpa mwanga na urejee kwa swali lako ullilouliza utaweza kuelewa na kupata mwanga sasa.
 
Tunahitaji kutafakari upya theologia na doctrine ya dhabi la asili kwasbabu ukisoma bibulia things don't add up

Wewe ni ateri ungekazania kitabu kile ambacho waandishi wake hawaeleweki maana kina mambo mengi maagizo ya shetani kama alivyosema Mohd kuwa alitokewa na shetani.

Biblia haina contradictions, kila kitu kipo wazi.
Biblia haikusema kuwa watoto ufalme ni wao, bali wale walio kama watoto, ufalme ni wao. Na kwenye kauli hiyo ililenga tabia za watoto (watoto hawana hila, siyo waongo, siyo wanafiki):
Matthew 19:14

"Let the little children come to me, and do not hinder them, for the kingdom of heaven belongs to such as these," emphasizing that a simple, trusting faith like a child's is essential for entering God's kingdom.

Tafsiri yake kwa Kiswahili:

Mathayo 19:14​

Lakini Yesu akasema, Waacheni watoto wadogo waje kwangu; wala msiwazuie; kwa maana walio mfano wa hao, ufalme wa mbinguni ni wao.

Original text:
Matthew 19:14: "ὁ δὲ Ἰησοῦς εἶπεν, Ἄφετε τὰ παιδία καὶ μὴ κωλύετε αὐτὰ ἐλθεῖν πρός με, τῶν γὰρ τοιούτων ἐστὶν ἡ βασιλεία τῶν οὐρανῶν" (Ho de Iēsous eipen, Aphēte ta paidia kai mē kōlyete auta elthein pros me, tōn gar toioutōn estin hē basileia tōn ouranōn), meaning "But Jesus said, 'Let the little children come to me, and do not hinder them, for the kingdom of heaven belongs to such as these'".

Zingatia maneno hayo, 'such as these' yaani 'walio kama hawa'
 
"Yesu akasema, ‘Waacheni watoto wadogo, wasiwazuie kuja kwangu; maana waliumbwa kwa namna hiyo Mungu anawatawala.” Fikiria Watoto hawa walikua hawakubatizwa. Hawakumwamini mwokozi aliyesulubiwa. Hawakusafishwa kutokana na dhambi yoyote ya asili. Na bado — Yesu anasema kuwa ufalme wa mbinguni ni wao.

Kwa hivyo kabla ya kusulubiwa, kabla ya “ondoleo la dhambi”, watoto hawa wasio na hatia walikuwa safi na walikusudiwa kwenda mbinguni? Hii inamaanisha hawakuwa na hatia yoyote ya kurithiwa kutoka kwa Adamu.

Lakini kama watoto wanafaa kwenda mbinguni, basi:
Ilikuwa na maana gani msalaba?
Ni “dhambi” gani Yesu alikuja kuiondoa?

Na kwa nini Kanisa bado linafundisha kwamba kila mtoto anazaliwa na laana isipokuwa amebatizwa?

Ukweli ni wazi: Aya hii moja inaharibu teolojia nzima ya dhambi ya asili na kafara ya mwakilishi. Inaonyesha kwamba usafi na wokovu haviendi kwa kumwaga damu au taratibu — bali kwa usafi wa asili ambao Mungu ameuandaa katika roho ya mwanadamu.

Kwa hivyo muulize Mkristiano: Kama watoto tayari ni wa ufalme wa mbinguni, ni nini hasa kilichobadilika kwa kusulubiwa? [emoji57]
Ulishawahi tafakari Ni Kwa nini watoto Kuna kipindi kukaa uchi Kwake siyo insue, alafu ghafla anaanza kuona aibu Na kujificha?!

Ukiyawaza haya utagundua Nini maana ya dhambi ya asili,

Kwa asili kila mwanadamu huzaliwa Na lile vibe la bustani ya Eden, Tunapitia haya ili tu kujua Sisi asili yetu Ni akina Nani, ,,tunapokuwa uharibifu huja taratibu, tukisha pata akili Tu tayari tunakuwa tushalithi dhambi , utaona Katoto kanaanza kuficha chuchuri,haogei nje Tena nk,

Kwa nini watoto wadogo, Hawa wanakuwa Bado kwenye stage ya Eden, hawana aibu, wamevaa nguo ,Ila hawajui sababu! Utakatifu uko ndani Yao,hawana hila, wao nyekundu Ni nyekundu, nyeusi Ni nyeusi, mfano, rahis mtoto kumwambia mama yake, "mama Toka nje baba avae nguo🤣"

Kwa Ufupi Tu ,Maisha ya mtoto,ndio Maisha ya Adame Na Eva bustanini, ,,
 
Anayo ila inaanza kufanya kazi akipata utambuzi wa mema na mabaya yaani sheria ikishaandikwa moyoni mwake kwamba hili ni baya au zuri!
Dhabi ya asili inafanya kazi kweli? Basi tuambie inafanya kazi gani hiyo?........Acha kujibu vitu kwa kubahitisha kama hujui jambo bora ukae kimya tu mkuu.
 
Dhabi ya asili inafanya kazi kweli? Basi tuambie inafanya kazi gani hiyo?........Acha kujibu vitu kwa kubahitisha kama hujui jambo bora ukae kimya tu mkuu.
Unaelewa unachouliza bob?
Kwanza unajua maana ya dhambi?
Kama hujui omba kuelimishwa tabu yako utaka majibu ambayo unataka wewe kuyasikia yakufurahishe na sio uhalisia upo biased!
Twende tujadili Dhambi ni nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom