Kv-london
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 2,891
- 5,063
Habar yenu wapendwa tunahitaji
Matron (1) na Patron(1). Watafanya kazi kwenye shule ya hostel, shule ni ya serekali.
Shule ipo kilimanjaro wilaya ya moshi marangu-kilema, Opposite na maua seminary.
Sifa za Matron
Awe 30+
Awe awesomea ualimu au nursing
Awe mkali kwa watoto
Kusimamia watoto wafanye usafi hostel
Kufuata maelekezoatakayopewa na n.k
PATRON
Awe amesomea ualimu ngazi ya degree kwa masomo yeyote
Awe na haiba ya kiume and not else
Awe matured atleast 30+
Awe anaweza kusimamia watoto wa kiume usafi na mengineyo
Muombaji akiwa anatokea moshi atapewa advantage zaidi
NB
Accommodation to both Patron and Matron available
Tuma CV na vyeti vyako kwa
Email godfreymtena@gmail.com
Au WhatsApp
0764616353
No calls or text