Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 456
kuna kigogo mmoja alipewa bure kama msaada alipokwenda vietnam, yalipoletwa umeibuka mradi wa kuuza matrekta wa SUMA JKT. I hope haya hayakuja kwa style hiyo
Utakuta hilo likiongozi bado linakumbatiwa katika uongozi na wanalifumbia macho kama vile hawaoni
weka bei!!
Bei zipo katika attachments ni kwenye range ya £25,000 kwenda juu
Bei zipo katika attachments ni kwenye range ya £25,000 kwenda juu
Bei zipo katika attachments ni kwenye range ya £25,000 kwenda juu
Yanapatikana kwa mkopo, maana naona hii bei kwa mkulima wa Tanzania.....!! Sijui?
Hii ndio bei poa kweli? au macho yangu mabovu?
Hii bei ni kwa matajiri tu kama akina Lowasa, Sumaye lakini mkulima wa jembe la mkono wa Mgeta, Matombo ni :nono:
Bei zipo katika attachments ni kwenye range ya £25,000 kwenda juu
Bei zipo katika attachments ni kwenye range ya £25,000 kwenda juu
huku china yapo ambayo mkulima anaweza kuimudu China Tractor-Dongfeng Agricul Tural Machinery Group,Tractors China ukiona yanakuridhisha wewe rusha email nikupe msaada wa kichinese kuhusu buying and shipping kupitia 1294135921@qq.com
Duh kwa hiyo bei nadhani jembe la mkono litaendelea kushika kasi
Yanaonekana kuwa mazuri lakini hayana bei. Labda tupe dondoo kidogo kuhusu bei zake na usafirishaji kuja bongohuku china yapo ambayo mkulima anaweza kuimudu China Tractor-Dongfeng Agricul Tural Machinery Group,Tractors China ukiona yanakuridhisha wewe rusha email nikupe msaada wa kichinese kuhusu buying and shipping kupitia 1294135921@qq.com
Asante mkuu kwa taarifa. Nimechungulia sehemu ya bei na condition ya kulipata sijaona. Tafadhali kama inaruhusu bandika na bei kabisaNdugu zangu kuna matractor yanauzwa kwa ajili ya kilimo kutoka uingereza yapo katika hali nzuri kabisa na bei poa, kama tunavyojua hakuna ushuru bandari kutoa vifaa vya kilimo kama tractors kwa ajili ya KILIMO KWANZA!. kama kuna mtu anahitaji basi tuwasiliane kupitia no.+447818716685
See pics of the tractors attached!
View attachment 17277cView attachment 17276hView attachment 17275eView attachment 17277dView attachment 17276!View attachment 17275
Asanteni!