Ben bizzoh
Senior Member
- Dec 28, 2013
- 121
- 5
Habari wanajamvi nimesoma mchepuo wa EGM eti kwa mm naweza kupokelewa UDSM au ARDHI kwa course yoyote nzur ukiachana na education ..na kama ipo ni ipi ...msaada tafadhali



Shukran mkuuNenda ardhi utapata
Land management,interior design,n.k utaangalia guidebook
ngoja nikachekiNamaanisha course nyingne mkuu apart from education labda za biasharaKwa Udsm ,education hupat labda ba statistics and economics