Asante Mkuu wetu yalitoka tangu juzi.mimi nimesikia tangu juzi.
Ila TUME ya vyuo imeweka Huduma hii ili watu wayapate kwa urahisi,sababu wanafunzi walioomba ni wengi na wanatoka sehemu mbali mbali za Tanzania ambk hata Magazeti hayafiki,na njia ya SMS ni rahisi kuwafikia watu wengi..
Mkuu usitake kuongopea watu hapa JF. Hiyo habari kwamba tume ya vyuo imeweka huduma hii wakati tunajua ni biashara ya mtoto wa mama six na mtoto wa Dialo si sahihi kabisa. Wewe endelea kutangaza biashara. SMS moja ni bei gani vile?
hiyo siyo Biashara ya mtoto wa mama Sita wala Diallo,..Bei ni TSH 250
hii imetulia..ila siyo kwamba kila jambo wanajua wao,mie hata huyo mtoto wa sitta simfahamu.Nilitegema ungeniomba tutorials nikupe ili nawewe ujifunze kucheza na python.Kiujumla ni wazo zuri na ujasiriamali regardless ni ya wakina nani wanaifanya. Il mradi tu kusiwe na elements za nia ovu ndani yake.
Sasa Mkuu mbona unakuwa kama enzi zile za zama za mawe za kale......hata kama ni biashara ya mtoto wa nani vile....lakini ni huduma safi...Mkuu usitake kuongopea watu hapa JF. Hiyo habari kwamba tume ya vyuo imeweka huduma hii wakati tunajua ni biashara ya mtoto wa mama six na mtoto wa Dialo si sahihi kabisa. Wewe endelea kutangaza biashara. SMS moja ni bei gani vile?
Habari za Mchana.
Habari nilizozipata Asubuhi hii ni kwamba Matokeo ya Wanafunzi waliochaguliwa Vyuo Mbali mbali yametolewa.UDSM,MZUMBE,Zanzibar State University,SUA,TUDARCO,AU,UDOM,ST. Augustine,MUCCOBS,MWUCE,DUCE,IUCO,SUZA,RUCO,MUHAS(Muhimbili),MMU,TEKU,ZU,WBUCHS,SMMUCO,St Johns,Open University,SEKUKO,RUSSIA,MUCO
na vyuo na taasisi zote za vyuo vikuu kama Chuo cha Ustawi
Kujua Umechaguliwa Chuo gani tuma sms
Apply[space]index number kwenda 15522.
index number zinatomika ni yoyote ya O level au High Level
mfano Apply 1234 na utume kwenda namba 15522.
Ni hayo tu asubuhi hii..
Mkuu usitake kuongopea watu hapa JF. Hiyo habari kwamba tume ya vyuo imeweka huduma hii wakati tunajua ni biashara ya mtoto wa mama six na mtoto wa Dialo si sahihi kabisa. Wewe endelea kutangaza biashara. SMS moja ni bei gani vile?
No hawako TCUMkuu Mwandishi,
IFM iko chini ya TCU?
Tunashukuru sana kwa habari nyeti kama hii. Hata hivyo inaonekana kwenye sites za vyuo husika matokeo hayo hayapatikani. Angalia AU hakuna kitu na habari zinazozungumzwa AU hazikidhi haja, maana hakuna updates. Naomba msaada.
mbona hayo matokeo hatuyaoni nielekeze na hiyo sehemu ya index no na jina mbona haipo?