R rodrick alexander JF-Expert Member Feb 12, 2012 15,204 20,182 Feb 5, 2021 #101 Onyango amekuwa akijitahidi kucheza mipira ya vichwa lakini wawa amekuwa mzembe sana magoli.mengi tuliyofungwa na as vita na al haily yalitokana na vichwa ni wakati sasa Wawa awekwe pembeni nqfasi yake ishikwe na Amne au kimataifa beki mzimbabwe
Onyango amekuwa akijitahidi kucheza mipira ya vichwa lakini wawa amekuwa mzembe sana magoli.mengi tuliyofungwa na as vita na al haily yalitokana na vichwa ni wakati sasa Wawa awekwe pembeni nqfasi yake ishikwe na Amne au kimataifa beki mzimbabwe
R rodrick alexander JF-Expert Member Feb 12, 2012 15,204 20,182 Feb 5, 2021 #102 devijoy said: Kama uliona Cameron na Mali mipira ya kona, Walikua wanapambana wote na kuhamasishana kuzuia Wawa ni beki ndo kwanza angetakiwa washurutisha wenzie na yeye mwenyewe kama Lamine pia anavyofya Yeye sasa anacheza ki bos boss wala hajali Click to expand... Hivi tatizo la mashabiki wa mikoani kutoshabikia timu zao limeanza leo mbona inaonekana kama imekuuma sana Simba kushangiliwa Dodoma
devijoy said: Kama uliona Cameron na Mali mipira ya kona, Walikua wanapambana wote na kuhamasishana kuzuia Wawa ni beki ndo kwanza angetakiwa washurutisha wenzie na yeye mwenyewe kama Lamine pia anavyofya Yeye sasa anacheza ki bos boss wala hajali Click to expand... Hivi tatizo la mashabiki wa mikoani kutoshabikia timu zao limeanza leo mbona inaonekana kama imekuuma sana Simba kushangiliwa Dodoma
P Payrol JF-Expert Member Feb 17, 2018 2,282 3,077 Feb 5, 2021 #103 devijoy said: Kama uliona Cameron na Mali mipira ya kona, Walikua wanapambana wote na kuhamasishana kuzuia Wawa ni beki ndo kwanza angetakiwa washurutisha wenzie na yeye mwenyewe kama Lamine pia anavyofya Yeye sasa anacheza ki bos boss wala hajali Click to expand... Sio kua anacheza kibosi, Ila na yeye ndio udhaifu wake. Kila mtu ana quality yake na udhaifu wake. Wawa mipira ya kona hawezi kabsa kuicheza.
devijoy said: Kama uliona Cameron na Mali mipira ya kona, Walikua wanapambana wote na kuhamasishana kuzuia Wawa ni beki ndo kwanza angetakiwa washurutisha wenzie na yeye mwenyewe kama Lamine pia anavyofya Yeye sasa anacheza ki bos boss wala hajali Click to expand... Sio kua anacheza kibosi, Ila na yeye ndio udhaifu wake. Kila mtu ana quality yake na udhaifu wake. Wawa mipira ya kona hawezi kabsa kuicheza.