Matokeo ya VPL: Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao mawili kwa moja dhidi ya Dodoma Jiji FC

Onyango amekuwa akijitahidi kucheza mipira ya vichwa lakini wawa amekuwa mzembe sana magoli.mengi tuliyofungwa na as vita na al haily yalitokana na vichwa ni wakati sasa Wawa awekwe pembeni nqfasi yake ishikwe na Amne au kimataifa beki mzimbabwe
 
Kama uliona Cameron na Mali mipira ya kona,
Walikua wanapambana wote na kuhamasishana kuzuia

Wawa ni beki ndo kwanza angetakiwa washurutisha wenzie na yeye mwenyewe kama Lamine pia anavyofya
Yeye sasa anacheza ki bos boss wala hajali
Hivi tatizo la mashabiki wa mikoani kutoshabikia timu zao limeanza leo mbona inaonekana kama imekuuma sana Simba kushangiliwa Dodoma
 
Kama uliona Cameron na Mali mipira ya kona,
Walikua wanapambana wote na kuhamasishana kuzuia

Wawa ni beki ndo kwanza angetakiwa washurutisha wenzie na yeye mwenyewe kama Lamine pia anavyofya
Yeye sasa anacheza ki bos boss wala hajali
Sio kua anacheza kibosi, Ila na yeye ndio udhaifu wake. Kila mtu ana quality yake na udhaifu wake. Wawa mipira ya kona hawezi kabsa kuicheza.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom