Matokeo ya valentine ya mesha anza kutoka.....*

Matokeo ya valentine ya mesha anza kutoka.....*

Kama ni rafiki yako ningemwambia aache kusimulia stori zake kwa watu sijui ni wakike au wana tabia za kike kazi umbea umbea tuu
Duuuh.
Kwani MTU kuja kukuomba ushauri ni kosa?
 
Unaongelea Valentine ya 2018 ambayo ilikuwa siku Jumatano ya majivu na wakatoliki walianza Kwaresma?
 
Yaani siku ya valentine umeona ilikuwa bora kuliko afya yako....

Tena ungepata Gonnorhea ili tukuchome OTC 20% (dawa ya ng'ombe) ungetia akili mkuu.....

But sio Mimi ni rafiki yangu
Mkuu.
But kikawaida binadamu wanateleza
 
Back
Top Bottom