Na mimi ndio nilichokiona hicho,hii ni nia ya wenye viwanda vya vinywaji baridi kuharibu soko la watengeneza juice mitaani,mimi ninaponywea hizo juice za miwa watengenezaji wanavaa gloves tena zile nzito
Wenye akili Kubwa tu ndo wataelewa hawa watafiti wana maslah binafsi na mwenye/wenye viwanda vya juice.
Hii michezo ya kuchafuliana biashara /brands ipo sana ughaibuni.
Hushangai agents wa Samsung kusema iPhone inatumiwa zaidi na wanawake,tena wale mala*a.