Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
......alafu tangawizi itokelezee.Juisi ya miwa yenye ndimu na barafu aisee ukiishusha kooni na hili joto la hapa Daslam ni murua kabisa!
Alisikika mwanaume wa mkoani aliyelowea dar!
Ulikula mavi mzee babaniliwahi kunywa juice ya miwa nikaharisha, mpaka sasa naigopa japo huinywa nikiwa nimejiandaa kuharisha
Kila siku wazee wa tafiti wanakuja na kitu kipya.! Nimeona sehemu pia eti “Kunywa maji mengi kunasababisha ugonjwa wa Moyo”
Onja juice ya miwa upate burudani ya koo!Hivi hizo juisi hamharishi kweli?
Na mimi ndio nilichokiona hicho,hii ni nia ya wenye viwanda vya vinywaji baridi kuharibu soko la watengeneza juice mitaani,mimi ninaponywea hizo juice za miwa watengenezaji wanavaa gloves tena zile nzitoKampuni za juic za kusindika naona wanataka kuharib biashara za wanyonge
Ila dah wanapokua wanakamua ile miwa jamaa kama wananawa vile doh