Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Kama wapinzani mlikuwa hamjui basi kuanzia Leo mtambue kwa lengo letu lilikuwa Moja tu, tukishawataja basi tunahamia kwenye majukwaa ya kisiasa kuwasema kuwa nyie ni wauza unga ingawa hatutakuwa na ushahidi wowote na wala hatuwapeleka mahakamani.
Nadhani mnaweza kuona matokeo ya baadhi ya viongozi wenu kutajwa kwa sasa inavyotunufaisha kisiasa. Iwe mwenyekiti wetu au mawaziri/Marc/makada wetu wakisimama sehemu laxima waseme nyie Wa upande Wa pili ni wauza unga
Hivyo hayo ndio yalikuwa malengo yetu na tumefanikiwa