Warue
JF-Expert Member
- Aug 9, 2012
- 424
- 810
Ruge leo unaonekana mshindi lakini..........?
Ndugu wanaJF
Naomba kwa mara hii nitoe mawazo yangu juu ya hatma Ruge, taasis yake na biashara yake kwa ujumla kuhusianana maamuzi waliochukua juu ya suala la Paul Makonda.
"Your decision determines your future" and "the means justifies the end"
Suala la Makonda ni matokeo ya mbegu mliopanda nyie wenyewe yaani "the means justifies the end". Hamjawahi kuwa neutral kwenye habari zenu na hata matendo yenu siku zote.
Mmefaidi mengi kutoka chamani na na Raisi kwa ujumla. Kitendo cha Mh. Rais kuwapigia simu mara kwa mara inafaida kwenu kubwa kitaasisi na kibiashara.
Binafsi sikuwahi kuwasikia mpaka pale niliposikia Mh. Rais aliowapigia simu kutoka Chato juu ya mshahara wake. Msemo wa pili unatoa maana halisi ya tukio la PCM kuingia kwenu bila mwaliko na kufanya chochote anachokitaka.
Vyombo vingine vya habari hawakufurahi kusikia simu zinajirudia mara kwa mara tena kwenu tu. Kuna taaasis walishaitisha kikao cha dharura kujadili kilicho special sana kwenu na hata kupanga mikakati ya namna na kulobby calls.Leo kila moja anawasupporti na kuwachochea mzidi kuvuruga mambo na ndio itakuwa na mwanzo wa graph yenu kushuka. Watalia sana na nyie leo lakini kesho nyie mtalia na wao watawacheka bila huruma.
Wafanya biashara wengi siku zote wako very sensitive na biashara zao. Wako tayaari kusacrifice chochote kile ili mradi wasipoteze faida.
Kwa tabia zenu za siku zote nina uahakika kuna vitu vingi sana mlikuwa mnakwepa na ni rahisi sana kuwa "pinned" mda wowote. Jifunzeni kwa mzee Mengi, hakika hakuja kuwapa pole bali kupiga msumari wa mwisho kwenye jeneza lenu. Biashara haichanganywi na siasa babaaa!!
OK. Ni kweli PCM kashawavamia what next?
Pande ziko mbili hapa, WA BIASHARA na wa HASARA na lazima mchague upande mmoja. By the way mmeshakwishakufanya uchaguzi. JE, nyie mmechagua upande gani?,Turejee pale mwanzo "our decision today determines our future".
Ni wazi sasa kila moja anajua mliopo. Toka mwanzo tulikuwa na vita kati wauza unga na wanapiga vita unga, kati Gwajima na serikali ya Magufuli. Katika vita hii kuna kuna kundi la tatu "wanasiasa", wanasiasa wamekaa kama mwewe waweze kutumia nafasi zao kisiasa na kuwachanganya watu. Mmekubali kuwafuata sasa kweherini!
Nimesikitika sana leo kabla ya kusomwa kwa ripoti mmemkaribisha mtuhumiwa namba 1 Gwajima eti kaja kuwapa pole. Hii inaonyesha wazi mlikuwa mnamtumia PCM vibaya kwa faida ya GWAJIMA na wapinzani wengine wa swrikali ya Magufuli. Haikuwa busara leo kumualika mtu ambaye ni chanzo cha mgogoro huu hasa kwa siku hii ya leo. MJIREKEBISHE na MUOMBE MSAMAHA.
Sasa mbivu mbichi tumeshajua kinachofuata ni uhalali wa kazi zetu toka miaka 17 iliopita. Mmefanya maamuzi hawajalalamika sasa ni zamu yao kufanya maamuzi halali juu yenu, na nyie msilalamike.
Ahsanteni sasa Naondoka na kweheri!