Jamani ninaomba msaada nitangalia wapi matokeo ya unganda nina kijana wangu kasoma huko, sasa nataka kuangalia matokeo yake basi ninaomba msaada kwa yeyote anayejua namna ya kuyapats
unaweza kuyapata kama tu una access ya simcard za kiganda bila ivo huwez kuyapata labda yeye mwanao au wewe uyafate uganda au mutume index number yake kwa mtu aliye uganda aweze kumsaidia kuangalia kupitia mtn.au orange kwana waganda matokeo yao hayawekwi kwenye internet.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.