R Real Masai Senior Member Joined Oct 12, 2011 Posts 123 Reaction score 24 Apr 1, 2012 #1 Kwa ujumla siki zote Mungu ndiye anayesimamia haki.Kiwira diwani ni wa CHADEMA.Mwanza pia CHAEDEMA kidedea.Arumeru pia mambo yanaenda vizuri,.CCM wamepagawa..Mwenye matokeo ya jumla Kutoka kwenye Arumkeru atujuzuze
Kwa ujumla siki zote Mungu ndiye anayesimamia haki.Kiwira diwani ni wa CHADEMA.Mwanza pia CHAEDEMA kidedea.Arumeru pia mambo yanaenda vizuri,.CCM wamepagawa..Mwenye matokeo ya jumla Kutoka kwenye Arumkeru atujuzuze
S sanjo JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 943 Reaction score 271 Apr 1, 2012 #2 Jamani kama ni taarifa basi tupeane source. Tetesi si kitu cha kusherehekea.
kilght JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 635 Reaction score 182 Apr 1, 2012 #3 nipo kiwira cdm imeshida kwa kishindo
monongo JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 388 Reaction score 64 Apr 1, 2012 #5 Jina la bwana na libarikiwe, Chadema peoples power,!!!!
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,917 Apr 1, 2012 #6 Lisaboni songea pia chadema!
M Mjukuu wa Kwanza Member Joined Apr 1, 2012 Posts 25 Reaction score 1 Apr 1, 2012 #7 peoples poweeeeeeer!!!!!!!!!!big up saaaana:smile-big:
K Kodemu Member Joined Mar 30, 2012 Posts 38 Reaction score 13 Apr 1, 2012 #8 Source ya matokeo ya udiwan angalia eatv!