Elections 2010 Matokeo ya uchaguzi Tanga

Iyangalo na Rmashauri, kuweni makini sana na kauli zenu,nyie ndio mnatuonesha kwamba mna itikadi za kidini...hivi maeneo ya kaskazini ambako kuna idadi kubwa ya wakiristo,je chadema nayo ilitumia udini kupata kura?maana Slaa kazi ya kutangaza dini ilimshinda akakimbilia maslahi ya siasa...sasa je na waislamu nao wasimame na kusema kwamba tusiwape chadema coz ni chama cha kidini? maana kuna mwehu mwenzenu mmoja aliropoka huko mwanza kwamba tuchague CHADEMA coz ni chama kitakachowasaidia watu wenye imani ya kikristo...kuna muislamu alipigia kelele kauli hiyo?au mtaka kuanza chokochoko...acheni udini bana, na wewe Gosbert eti pwani yote inanuka udini...haya sio maneno ya kuongea...kama tanga wamechagua watu wao wewe kaa kimya hawakuhusu...na wewe Slaa si kakufanyia mambo matamu,mchague tu...we tuache na udini wetu, at least tunayo dini...ukiulizwa wewe hapo dini yako yenyewe hata ktk holy scriptures utata mtupu...kaa kimya bana.
Habari ndio hiyo mazee. Ukweli umemwagwa sakafuni
 
Mkoa huu unazidi kudidimia kadri miaka iendavyo na wananchi wa Tanga line linapokuja suala la siasa wao ni kijani damu! Sijui lini wagosi mtaelimika kama wenzenu ambao wameonyesha kutodanganywa kijinga kama Arusha, Mwanza, Mbeya nk.
Yakhee, waghosi na Wavyele amkeni na acheni kudanganywa na na CCM!
Acheni kunywa Anjari na Vimto ha ha ha!
Mlikuwa na viwanda vya aina vyote pale mjini lakini leo hii vyoote vimekufa kasoro Saruji tuu. Mwaahidiwa kila siku ahadi tele zisizotekelezeka. JK na Bilal this time wameahidi kufufua viwanda vyoote vilivyokufa hapo mjini (Fertilizer, Steel Rolling Mills, Sikh Saw Mills etc. haya yangu macho ikija 2015 itakuwa yale,Huo mji sasa umekuwa kama vile Bagamoyo ya ancient times before Christ. Acheni ujinga
Tanga mnani?
mdau Los Angeles
 
:doh:
Du! Kweli hamjui upepo. kampeni za mwakahuu zimedhihirishaudini na ukabila.
Pengo alimwambia JKnina kuranyingi mkononi mwangu , ukitakaUrais unione.
JK hakumuona na hivyo sasa zipo kwa mzinzi Slaa.:yield:
 
Back
Top Bottom