Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Hapa Arusha CCm haina chake chadema imechukua viti 14 mpaka sasa....na kwa mahesabu ya mawakala ni kwamba Lema amemshinda tena kwambali sana mpinzani wake CCM na kwa upade wa Urais nako CCM ina kimbinzwa mfano nimepata matokeo ya kata ya Elerai
Chadema = 48220
ccm= 3992
Chadema = 48220
ccm= 3992