Mnaweza kupata matokeo ya pemba?
Kama kweli hiyo ni village naanza kuwa na matumaini
Kama kweli hiyo ni village naanza kuwa na matumaini
Mnaweza kupata matokeo ya pemba?
waulize watu wa kwenu pemba halafu tuletee hapa.
Tunakujua wewe ni nani na safari hii daraja lina miibaNdugu ili ushinde uchaguzi sehemy unazo-consider wewe uko juu lazima uwaache wenzako kwa mbali sana.
Sasa hiyo kama inatoka Geita is bad indication... Ila HONGERA CHADEMA Kuibana CCM ... lakini matokeo ya awali yanaonyesha Ikulu sio yenu kabisa.
mbona sasa wana chadema leo mumekasirika? Au ndio dalili za kukataa matokeo? Jamani shubiri ni chungu lakini lazima muinywe!!!
Kagasheki kashindaBukoba mjini kupoje hapo kwa bwana Hamis Sued Kagasheki na Rwekatare!!?
hili ni jimbo lipi? au mkoa mmoja?Urais
ccm 376
chadema 341
cuf 13
ubunge
ccm 396
chadema 322
cuf 10
udiwani
ccm 315
chadema 474
cuf 0