Nawapa hongera CDM kwa ushindi wa kishindo!
Mapambano yanaendelea mpaka kieleweke
Chadema inasemekana imeshinda kwa kura zaidi ya 3000 na CCM kuangukia pua na ndiyo maana hadi sasa NEC haijatoa matokeo rasmi. Dr Kafumu haamini macho yake na amekataa kusign.
Ataamini vipi na akipiga hesabu hela zote alizoiba kwenye miataba ya kifala ya madini zimeyeyuka na ubunge hakuna,zaidi my wife wake alijinyenyekesha kiasi cha kupiga magoti jukwaani lakini hakuna kitu..
kura si zimehesabiwa jana vituoni? Uhesabuji upi unaouzungumzia?
Nikamwelewa Dr Kafumu kukataa kusaini kwa point 2.
1. alisha somo Twitter ya Zitto akikiri Chadema imeshindwa
2. FFU wamewadhalilisha tena waislamu maana katika kupiga mabomu na kumwaga maji ya washa washa vijana kadhaa wa kiislamu wamepoteza baraghashia zao na wanawake wachache wa kiislamu waliokuwa wanapita karibu wamefunuliwa hijabb na hivyo kudhalilishwa kidini. Astaghafululah!!! Takbiri, Takbir!!!!

acha kuleta habari za vijiweni, Zitto ndiye mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi? umelipwa bei gani kwa kazi hii ya kuandika habari ya Zitto, Zitto, Zitto- unakera watumiaji wa mtandao huu.Hebu tuwe serious na tuache ushabiki, Zitto amekiri CDM kushindwa kwa Kupata 45% na CCM 49% . Kama naibu katibu mkuu wa chama anakiri kushindwa nyie data hizo mnazitoa wapi?
Sasa kuna watu wakishirikiana na mods wanataka watuaminishe Zitto kakubali matokeo hadi mods wameipa Title ya Breaking News na coverage kubwa. Tafadhali tusijirahisi hivyo kugandamiza demokrasia next time hatutaaminiwa.I have updated the 1st post. Hopefully ubishi umeisha!
saa yangu inasema sasa saa nane mchana...matokeo yapo wapi???
kura si zimehesabiwa jana vituoni? Uhesabuji upi unaouzungumzia?
Mambo ya Uislamu na Balaa Kuu la Waislamu yamekujaje humu.Haya mambo tunayafanyia utani ila siku wadau wakisema liwalo na liwe tutakimbiana