Matokeo ya Ubunge Mbeya vijijini vurugu tupu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya Ubunge Mbeya vijijini vurugu tupu!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TGS D, Nov 2, 2010.

 1. TGS D

  TGS D Senior Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Taarifa kutoka Mbeya ni kwamba wananchi wameamua kuandamana kushinikiza kutolewa kwa matokeo ya jimbo la Mbeya vijijini. Wananchi wamekabiliana na askari katika eneo la Mbalizi, pia katika jengo la mkuu wa wilaya ya mbeya ambapo ndipo matokeo yanatarajiwa kutangazwa.

  Wananchi wanadai kwamba kuna mabox ya kura yanataka kuingizwa kwa siri yakitokea jimbo la Rungwe mashariki.

  Updates zaidi zikipatikana tutapeana wakuu!!!
   
Loading...