Matokeo ya TRA ya written ni kama A.I generated

Broo!! We Genius
 
Kawaida tu. Mbona hata interview za utumishi mfano za walimu ulikuwa unakuta zaidi ya page 50 candidates wote wamepata alama 60. Mfano tafuta matokeo ya walimu wa kiswahili bachelor
Hao ndo wale wale weweeeeee!!
Kasoro majengo tu
 
Ule kwa Jinsi ulivyokuwa mwepesi niliamini hakuna ambae angenikaribia hata kidogo..

Lakin meza Jinsi walivyoipindua daaah hatari tupu.

Yaani mpka mtu unabaki unashangaa
Mimi kilichoniacha mdomo wazi mpaka sasa hivi..

Ni kwamba jamaa aliyekuwa ananiangalizia mimi karibu kila swali amefaulu tena kapata 53

Wakati huo mimi hapa kipanga wake nimapata alama 45.

Hii inaleta maswali kama kweli huu mtihani walisahihisha.
 
Tunawachekea sana hawa watu.. naona Kam hatujawa serious
 
Endeleeni kulalamika tu siku mkichoka mrudi kuikomboa nchi yenu.
 
Bunda la wananchi tamu sana.
 
Mimi kilichoniacha mdomo wazi mpaka sasa hivi..

Ni kwamba jamaa aliyekuwa ananiangalizia mimi karibu kila swali amefaulu tena kapata 53

Wakati huo mimi hapa kipanga wake nimapata alama 45.

Hii inaleta maswali kama kweli huu mtihani walisahihisha.
Oya hii imenitokea na mm alieniangaliazia kapata 75.5 mm kipanga wake nimepata 67.5😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…