Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,870
- 7,599
Asante mkuu, naomba kaziPole sana kiongozi
Overconfidence...Na ulijendari wangu woote huuu, na mitihan yoote niliyowahi Fanya, ntakuwa mtu wa mwisho kuamini kwa scenerio hii ya U-tra
VimemoWanatumia mbinu gani kweny jegenerate haya matokeo.
Mkisha lamba Asali ndo vimaneno vyenu hivyo!Wasomi punguzeni malalamishi, mko wengi mnataka wote mpewe ajira?, hilo suala lishaisha endeleeni na mambo mengine, haitatokea siku ambayo serikali itamfuraisha kila mtu, sahau kuhusu hilo.
Mitego lazima iwepo ili mchujwe wabaki watu wanaowataka wao, kuendelea kulalamika sio solution bali kudai mabadiriko kupitia mifumo mipya ya elimu ya kuwatoa ktk hilo giza la kulilia ajira.
Anyway mitaani kazi nyingi hamzitaki, mnataka wote mjazane maofisini ili mukwapue kodi za wananchi😅.
Tafuteni skills&maarifa mapya acheni utumwa wa kulilia viajira vya kuutweza utu wenu.
Kiongozi mim nimeomba kazi na nna mwaka wa zaid ya wa sita huu Sina kazi, may be uwinga tu mjini kakaAsante mkuu, naomba kazi
Depend na aina ya mtihani, sio wa true and False,Overconfidence...
Kwahili sasa naanza kuona kweli hiki chama hakifai kabisa!Poleni sana wahusika.
Hayo maumivu ndio mamilioni ya watanzania huwa wanayapata kila uchaguzi wanapochagua wagombea wanaowataka lakini tume ya uchaguzi na vyombo vya dola kuamua kwa makusudi kuwabeba wagombea wa CCM wasiofaa.
Lakini ipo siku tu.
Daaah wanatuumiza sanVimemo
Uko wap mzee kariakoo au 🤔Kiongozi mim nimeomba kazi na nna mwaka wa zaid ya wa sita huu Sina kazi, may be uwinga tu mjini kaka
Kariakoo nilikuwepo zaman sana! Kwasasa nipo mtaani tuu ata sielewi,Uko wap mzee kariakoo au 🤔
Hugs bruh ulipiga nn kwani, na mbn ulitoka kkoo huku ukijua maybe kazi ni changamoto sana 🤔Kariakoo nilikuwepo zaman sana! Kwasasa nipo mtaani tuu ata sielewi,
TRA wameshachakata kanzi data, wanazidi kunifanya nidate..
Hapa nawaz kwenda kujishikiza kweny taasisi tu za watu angalau tupate ela ya kula
Custom 11 ilikuwa na watahiniwa zaidi ya 14000 na mtihani ulikuwa na jumla ya maksi 100. Kwa hiyo Ukigawanya watahiniwa 14000/100 = 140. Ina maana watahiniwa 140 au zaidi wanaweza kupata maksi zinazofanana.Kutokana na uchunguzi wangu mdogo kwenye PDF ya MATOKEO ya TRA, hasa kweny upande wa Custom II, Kuna vitu vimenipa maswali mengi
1. Kwa Jinsi maksi zilivyopangwa ni ngumu mtu kupata 43, au 42.4.
Kwasababu mtihani ulikuwa na maswali matatu ambayo kimsingi huwezi pata hizo maksi na majibu yalikuwa ni direct ukikosa umekosa au ukipata umepata haiwezekani ukapata hizo point
2. Watu wengi kuwa na maksi zinazofanana. Kiuhalisia nashindwa kuelewa inakuwaje watu zaid ya 300 wote wamepata 45.5 au 41
Hapa walimu mnisaidie inawezekana kweli watu kuwa wanafanana fanana kweny maksi
Yaani unakuta listi ndefu ndefu wote mmefanana zaidi ya watu 300. Hilo kwangu ni impossible
3. Range ya watu kufanana maksi inaenda inazid kulingana na kuwa amechaguliwa au hapana.
Mfano: watu ambao wanamaksi za juu kweny hio PDF wanaofanana maksi ni wachache, unaweza Kuta hawazidi kadhaa, lakin wanaofanana maksi wanazidi kuongezeka kulingana na kutochaguliwa kwao.
Utakuta ambao hawajachaguliwa watu zaid ya 258, au mpaka watu 300 wote wamepata 41 na hio interval inazid ongezeka kadili watu wanavyokuwa hawajachaguliwa na maksi zao kuwa ndogo
4. ili kila mtu aridhike ingekuwa heri mchakato huu ukawa computarize yaani watu wajibie maswali mtandaoni na maksi zake azipatie palepale, mchakato huu uwe huru na uwazi.
Au wangemtumia kila mtu PDF ya mtihani wake alioufanya ili mtu asiwe na maswali na wao. Hii ingesaidia Kama mtu kanyimwa maksi makusudi au ni uzembe wake.
Sasa wakifanya kila kitu Gizani Kuna maana gani ya kuwepo na mtihani ambao unapewa maksi uliopata na sio kujua wapi ulipokosea
Nna uhakika hata alietunga huo mtihani wa custom officer II, angeenda aufanye kimya kimya matokeo yake angekuwa huko kwenye 42.4
Way back nilikuwa nakimbiza natembeza perfume hapo kariakoo naunga unga viada ada! Niliacha kipnd narudi school form fiveHugs bruh ulipiga nn kwani, na mbn ulitoka kkoo huku ukijua maybe kazi ni changamoto sana 🤔
Nawasubiri veta hapa niwape ilimu ya kukaanga vitumbua.Wasomi punguzeni malalamishi, mko wengi mnataka wote mpewe ajira?, hilo suala lishaisha endeleeni na mambo mengine, haitatokea siku ambayo serikali itamfuraisha kila mtu, sahau kuhusu hilo.
Mitego lazima iwepo ili mchujwe wabaki watu wanaowataka wao, kuendelea kulalamika sio solution bali kudai mabadiriko kupitia mifumo mipya ya elimu ya kuwatoa ktk hilo giza la kulilia ajira.
Anyway mitaani kazi nyingi hamzitaki, mnataka wote mjazane maofisini ili mukwapue kodi za wananchi😅.
Tafuteni skills&maarifa mapya acheni utumwa wa kulilia viajira vya kuutweza utu wenu.
Huo mgawanyo uangalie!! Kadili watu wanavyofeli ndo wanazidi kufananaCustom 11 ilikuwa na watahiniwa zaidi ya 14000 na mtihani ulikuwa na jumla ya maksi 100. Kwa hiyo Ukigawanya watahiniwa 14000/100 = 140. Ina maana watahiniwa 140 au zaidi wanaweza kupata maksi zinazofanana.
Wewe ndiye mliyepata maksi mbili nini, bwashee?
Sa si Bora wangesema mapema kwamba someni, lakin kazi hamna tujue tunafanyajeNawasubiri veta hapa niwape ilimu ya kukaanga vitumbua.
Nili dili na Business kiongoz! Ndo hivyoHugs bruh ulipiga nn kwani, na mbn ulitoka kkoo huku ukijua maybe kazi ni changamoto sana 🤔