Kutokana na uchunguzi wangu mdogo kwenye PDF ya MATOKEO ya TRA, hasa kweny upande wa Custom II, Kuna vitu vimenipa maswali mengi
1. Kwa Jinsi maksi zilivyopangwa ni ngumu mtu kupata 43, au 42.4.
Kwasababu mtihani ulikuwa na maswali matatu ambayo kimsingi huwezi pata hizo maksi na majibu yalikuwa ni direct ukikosa umekosa au ukipata umepata haiwezekani ukapata hizo point
2. Watu wengi kuwa na maksi zinazofanana. Kiuhalisia nashindwa kuelewa inakuwaje watu zaid ya 300 wote wamepata 45.5 au 41
Hapa walimu mnisaidie inawezekana kweli watu kuwa wanafanana fanana kweny maksi
Yaani unakuta listi ndefu ndefu wote mmefanana zaidi ya watu 300. Hilo kwangu ni impossible
3. Range ya watu kufanana maksi inaenda inazid kulingana na kuwa amechaguliwa au hapana.
Mfano: watu ambao wanamaksi za juu kweny hio PDF wanaofanana maksi ni wachache, unaweza Kuta hawazidi kadhaa, lakin wanaofanana maksi wanazidi kuongezeka kulingana na kutochaguliwa kwao.
Utakuta ambao hawajachaguliwa watu zaid ya 258, au mpaka watu 300 wote wamepata 41 na hio interval inazid ongezeka kadili watu wanavyokuwa hawajachaguliwa na maksi zao kuwa ndogo
4. ili kila mtu aridhike ingekuwa heri mchakato huu ukawa computarize yaani watu wajibie maswali mtandaoni na maksi zake azipatie palepale, mchakato huu uwe huru na uwazi.
Au wangemtumia kila mtu PDF ya mtihani wake alioufanya ili mtu asiwe na maswali na wao. Hii ingesaidia Kama mtu kanyimwa maksi makusudi au ni uzembe wake.
Sasa wakifanya kila kitu Gizani Kuna maana gani ya kuwepo na mtihani ambao unapewa maksi uliopata na sio kujua wapi ulipokosea
Nna uhakika hata alietunga huo mtihani wa custom officer II, angeenda aufanye kimya kimya matokeo yake angekuwa huko kwenye 42.4