Matokeo ya Test Za BBC Tech yaonyesha iPhone 6+ Haipindi - Angalia Video

Matokeo ya Test Za BBC Tech yaonyesha iPhone 6+ Haipindi - Angalia Video

ManiTek TV

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
410
Reaction score
159
Awali nilizungumzia kwamba siamini kwamba iPhone 6 Plus inaweza kuvunjika kwa kuiweka mfuko wa mbele bila ya kuikalia, na kueleza kwamba mwenyewe nimefanya jaribio hilo. Niliweka wazi kwamba the whole story have been blown out of proportion due to media frenzy na sensationalism. BBC are joining me to prove that it isn't that easy to bend the phone as it has been claimed by some dudes. Jamaa aimeiweka mfuko wa nyuma simu siku nzima na haikupinda wala nini. Here is the link:

BBC News - Apple says bent iPhones are 'rare'
 
yanini kutoa mamilioni ya pesa halafu nikae nawazia sijui itabend
 
Back
Top Bottom