Matokeo ya SUA yapo hewani

Matokeo ya SUA yapo hewani

nashukuru pia sky-haf najua dogo langu atafurahi sana maana bado wapo jkt huko
 
Mambo. mnaoweza Kucheki, Phanuel Gatyo Charo Kachaguliwa Chuo Gani Na Digrii Ipi? S0996/0130 2010
 
Nashukuru wadau wa jf mmenijulisha mambo mengi na ya msingi zaidi. Pamoja sana nimeona jina la mdogo angu
 
Bandugu na wa nacte wamo? Yaani hawa watu wanatukera ile mbaya! Tumevumilia sana lakini sasa uvumilivu karibia utafika 0!
 
Naona Agricultural Engineering kuna wanawake watatu tu,jamani tuwahamasishe wanadada,wasiogope kozi hii,ni ngumu sawa lakini ukikomaa unatoka
 
karibun sua..... but... vijan wangu wa bvm... mje mmejiandaaaa coz hii shule c ya kitoto
 
Back
Top Bottom