GE2010 Matokeo ya Rais so far: Haya hapa!!!

GE2010 Matokeo ya Rais so far: Haya hapa!!!

The Khoisan

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2007
Posts
18,217
Reaction score
17,366
Peter

Peter Mziray: Kura 4275 = 1.45 %;
Jakaya Kikwete: 186 1877 = 64.2 %;
Dr. Slaa: 578 636 = 19.95 %
Prof. Lipumba: 238 259 = 8.22 %
Mutamwega: 5690 = 0.2 %
Fahmi: 3435 = 0.12 %
Zilizoharibika: 163 562 = 5.64 %

Matokeo ya kura za urais according to Mwananchi: Mwananchi Election Editions
 
Huyu kikwete vipi mbona anpata ushindi mdogo sana kama wa Mkapa 1995.
 
Majimbo yanayotangazwa ni yale ambayo hata kabla ya uchaguzi tulijua CCM watashinda!! Kunani tume ya uchaguzi?
 
NEC wametangaza matokeo mengine sasa hivi. Inashangaza hata Nyamagana Mkwere anaongoza dhidi ya Slaa.

Uchakachuaji mchana kweupe?
 
Mie nitapata dira wakitaja matokeo ya majimbo ya Kilimanjaro,Arusha,Mbeya,Iringa,Mwanza (sio nyamagana na sengerema) ,Musoma,Manyara (isipokuwa babati),Kigoma,Bukoba na Dar.
 
Thanks. Ila hii rate ya kura kuharibika ni kuwa mno. Au kuna tatizo kwenye design ya karatasi ya kupigia kura?

Yeah, inatisha! elimu itolewa kabla ya uchaguzi ujao (of coz kama uchakachuaji sio sababu!).:A S angry:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom